Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,417
- 19,442
Uchumi wa Russia hata ukiporomoka impact yake sio kubwa kama America n.k. Russia kuna ma Oligarchy pia kuna masikini ambao effect ya uchumi kwao kuwa mkubwa au mdogo sio kubwa..., hence watu kama hao huenda mabadiliko yakawafanya wazidi kuichukia NATO / USA na sio necessarily Putin....Hivi mna uhakika kuwa uchumi wa Russia umeporomoka? Au vyombo vya habari vya magharibi ndo vimewalisha hayo
Pia hata wakibana huku China akisema tuendelee kufanya biashara huenda in the long run NATO / USA ikabaki na an egg in their face...,
Balance of Power can change anytime and America future is not as bright as it once once...