An accounts specialist ready to work

MAKUNDE MSOMA

Member
Nov 5, 2019
7
45
Habari za mida hii wanajamvi

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.Mimi ni muhitimu wa chuo na nina digrii ya utawala wa fedha na uhasibu.

What I Have:
√Knowledge
I have broad kwoledge of preparing and presenting financial report.
√Skills

Financial reporting skills,administratuve skills,A good command of both written and spoken English with strong interpersonal skills.

√Abilities
Ability to respond to tight schudele,ability to maintain records with high accuracy,ability to act with integrity and maintains ethical standards,ability to maintain confidentiality of a sensitive information and highly organised.

WHAT I CAN DELIVER:
Payroll Accounting,Management of receivables and payables,Filling Returns,Bank Reconciliation,Prepare monthly report and Budget,Prepare Annual report,Handling Statutory Deductions,Advice management/Client to adhere on operative and financial internal control system as required by International Accounting Standards,Prepare Provisional tax,Corparate tax,Payee,Sdl,Withholding tax,Service Levy,Prepare Asset Account,Capital Account,and Liability Account.

Prepare Financial Statements such as Comprehensive Income Statement,Balance Sheet,Cashflow Statement and Retained Earnings Statement,Prepare Tax Health Checks and Management Audit report,Stock Valuation,evaluating risks associated with Loans and Creditors, Register business name and company,Business plan et.Karibuni wakuu
 
sekion27

Member
Jul 25, 2021
25
45
Habari za mida hii wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.Mimi ni muhitimu wa chuo na nina digrii ya utawala wa fedha na uhasibu.
What I Have:
√Knowledge
I have broad kwoledge of preparing and presenting financial report.
√Skills
Financial reporting skills,administratuve skills,A good command of both written and spoken English with strong interpersonal skills.
√Abilities
Ability to respond to tight schudele,ability to maintain records with high accuracy,ability to act with integrity and maintains ethical standards,ability to maintain confidentiality of a sensitive information and highly organised.
WHAT I CAN DELIVER:
Payroll Accounting,Management of receivables and payables,Filling Returns,Bank Reconciliation,Prepare monthly report and Budget,Prepare Annual report,Handling Statutory Deductions,Advice management/Client to adhere on operative and financial internal control system as required by International Accounting Standards,Prepare Provisional tax,Corparate tax,Payee,Sdl,Withholding tax,Service Levy,Prepare Asset Account,Capital Account,and Liability Account,Prepare Financial Statements such as Comprehensive Income Statement,Balance Sheet,Cashflow Statement and Retained Earnings Statement,Prepare Tax Health Checks and Management Audit report,Stock Valuation,evaluating risks associated with Loans and Creditors,Register business name and company,Business plan et.Karibuni wakuu
Boss tupo pamja nam BAF nipo Arusha nami natafuta ajira ningependa tuungane kwani skills tulizonazo tukiungana tunaweza kufanya jambo
 
steve111

Member
May 29, 2015
91
125
Mtoa Uzi unazingua sana aisee!!! Tumekubaliana kuja Mbeya lakini Umekuja kwa kudanganya coz umekuwa ukipigiwa simu lakini unaongopa kwa kusema nipo Njiani lakini si kweli Sasa Umekuja siku inayofuata lakini boss wangu akasamehe tumeongea vizuri kwamba uanze kazi siku inayofuata lakini hukuja Mchina kasema Your not genuine!!

Tukaishia kukupa Nauli kurudi Dar!! Badirika mkuu
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
11,656
2,000

Mmh! Tatizo nini? Maana nilitaka ani dm
 
trey007

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
810
1,000
Mtoa Uzi unazingua sana aisee!!! Tumekubaliana kuja Mbeya lakini Umekuja kwa kudanganya coz umekuwa ukipigiwa simu lakini unaongopa kwa kusema nipo Njiani lakini si kweli Sasa Umekuja siku inayofuata lakini boss wangu akasamehe tumeongea vizuri kwamba uanze kazi siku inayofuata lakini hukuja Mchina kasema Your not genuine!!

Tukaishia kukupa Nauli kurudi Dar!! Badirika mkuu
Pole sana kiongozi... kwanini tunashindwa kufanya kile ambacho wengi wamekuwa wanakililia kuna watu wanatafuta hata internship wanakosa afu mtu uanpata chance kama hii unaichezea kweli!!
 
MAKUNDE MSOMA

Member
Nov 5, 2019
7
45
Mtoa Uzi unazingua sana aisee!!! Tumekubaliana kuja Mbeya lakini Umekuja kwa kudanganya coz umekuwa ukipigiwa simu lakini unaongopa kwa kusema nipo Njiani lakini si kweli Sasa Umekuja siku inayofuata lakini boss wangu akasamehe tumeongea vizuri kwamba uanze kazi siku inayofuata lakini hukuja Mchina kasema Your not genuine!!

Tukaishia kukupa Nauli kurudi Dar!! Badirika mku
 
MAKUNDE MSOMA

Member
Nov 5, 2019
7
45
Brother nahamini wewe ni mhasibu kama mimi na moja ya kazi zetu hizi za kitaalamu ni kuwa mwadilifu na mwaminifu na kutunza taarifa ya mwajiri wako sasa umeandika maneno mengi ambayo hayana ukweli wowote juu yangu mimi ningekushauri tungetafutana kwa simu ukaniuliza imekuaje?Na jambo baya zaidi ni kunichafua nionekane mimi mtu si mwaminifu kwa kusema kwenye maelezo yako nimepewa nauli,nakuomba muulize huyo madam vizuri na hapa ndio mnanipa shaka zaidi kwamba pale sio sehemu sahihi.Nakutakia siku njema
 
Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,478

HATIMAYE MLETA UZI AMWAGA UGALI,
BAADA YA JAMAA KUMWAGA MBOGA.

MKUU,
HEBU NIAMBIE UKWELI-
KUNA CHANGAMOTO GANI KWA HAWA JAMAA?

MAANA'KE NAMI ND'O NINA MKAKATI WA KUCHOMOKA KESHO NIENDE HUKO MBEYA KUCHECK NAO.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom