Amuua na kumzika mwanamke wake Mtanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE: Ninadhani ujumbe huu utawafikia watanzania wote popote pale walipo, Wakenya sio watu wa kawaida.

========

Police in Kirinyaga County are looking for a man who allegedly killed his girlfriend and buried her in his compound at Kieni Village in Kirinyaga Central Constituency.

According to Kirinyaga Central Sub-county Deputy County Commissioner Daniel Ndege, the suspect identified as Simon Murimi Wanjohi was found by his father digging a hole on Tuesday night and after being asked what it was meant for he said it was a garbage pit.

However, when the father visited the son’s home on Wednesday he found the pit buried and alerted the area chief and neighbours who decided to uncover the hole.

A few minutes into uncovering the pit they came across the feet of a woman, discovering that the suspect had buried a body.

“Relatives are saying his woman killed and buried in the hole was from Tanzania and they are not aware why he killed her,”‘ said the Deputy County Commissioner.

Investigations into the incident are ongoing.

The man is reported to be a rice trader in Mwea.

Source: Citizentv.co.ke
 
Kitu pesa ni kitu mbaya sana. Ukute huyo mwanamke ni mchuuzi wa mchele kutoka Kyela kwetu. Kapitishia njia za panya hadi ukafika halafu hilo li nyangau likaona njia ya kujipati utajiri ni kumdanganya kuwa pesa iko nyumbani twende ukahesabu mwenyewe. Kumbe ndio kumuua ili asimdai pesa yake. Hayo majitu ni manyangau kabisa heri tusidi kufunga mipaka tu
 
Umesema ukweli kabisa, pale soko la Ilala kuna wafanyabiashaara wawili walikua wanapeleka vitunguu Nairobi, waliuliwa kinyama katika mazingira hayo unayosema, sasa hivi ukienda pale Sokoni ilala uwaambie habari ya kupeleka bidhaa Kenya, watakukimbia kama umejipakaa kinyesi, hawataki kusikia habari ya Kenya.
 
Back
Top Bottom