mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,282
- 44,819
Mtu mwingine akiwa na kitu kina mkera na hawezi kutafuta mpaka alewe. Huenda Huyu alikusudia akaenda kulewa ili kutoa woga na simanzi.Kumbukeni kuwa alilewa "Pombe"
Ahsante kwa kuniita. Nimesikitika sana. yaani mie ninavyowatamania wenye mama basi tu, hadi nilishasahau hata neno "shikamoo mama" RIP mama yangu tunakukumbuka na tunakuombea Mungu akulaze mahala pema peponiCHIKIRA MTABARI njoo shosti uone mambo ya wahenga