Elections 2010 Amri ya mahakama yawezasitisha Mtokeo kutangazwa?

jambotemuv

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
224
62
Je? Hivi sheria zetu zinaruhusu AMRI ya mahakama kusitisha shughuli za NEC kwa manufaa ya usalama wa raia pindi ikipoke malalamiko halali? Naamini tuna kila aina ya ushahidi kuthibitisha Tume ina hatari ya kuhatarisha amani na usalama wa raia. Vile sheria zetu mbovu za uchaguzi zasema tume ikitangaza ndo basi, yafaa sana kuizuia kisheria kutangaza. Kina Marando mwasemaje?:thinking:.
 
Mahakama ina mamlaka kutoa amri hiyo kwa mujibu wa Katiba.
 
Basi wandugu tupige kelele hili lifanyike mara? Hawa wahuni hakuna namna nyingine ya kuwaanika kwa jumui za kimatafifa etc. Marando mwasubiri nini?. Hapo ndo penyewe pa kuubatilisha uchaguzi na kuitimua tume.
 
Wandugu lichemkiwe hili jamani. Tuna uhakika hawana jipya wala woga na vurugu wafanyazo. Wamesha tupa ushahidi tosha na sasa tuufikishe kunako sheria kisheria.
 
Back
Top Bottom