s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 458
Wadau kila siku najiuliza juu ya huyu mzee serilali yetu inawaenzi vp wazee km hawa, labda wenye ufahamu mdogo huyu mzee na wengine wengi ni magwiji wa kiswahili na ushairi.La kushangaza sijui hio BAKITA na serikali kwa ujumla inawaenzi vp, hakuna kuhifadhi kazi zao au hata kuwajali kidogo maishani? Au km kawaida tunasubiri wafe ndio tuwazike kwa heshima zote za serikali?