Amri mwanachuo yoyote anayegoma afukuzwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri mwanachuo yoyote anayegoma afukuzwe

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndokeji, Jan 10, 2012.

 1. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Amri kutoka Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi ya Tanzania mwanafunzi yoyote anayejihusisha na mgomo afukuzwe. JAMANI WANACHUO ACHENI KUGOMA HIYO NI AMRI KUTOKA SERIKARI YA CCM
   
 2. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mimi si mwanachuo lakini sijui hao ccm wamekutuma au ni hulka yako tu, umewauliza kwanza wakwambie kwa nini wanagoma? wasikilize kwanza ndo uwape ushauri
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tupe chanzo mkuu ingawa kwa ccm hii haya yanawezekana kabisa
   
Loading...