Amri kumi za Tanzania

Maria Roza

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
6,797
1,567
[FONT=times new roman, new york, times, serif]nimeitoa[/FONT]
 
Last edited:
Haijakaa vizuri. Angalia dada kutaja hayo majina, yasije yakakutokea puani kama hauna ushahidi. Umeingia JF juzi tu, tayari ushafika huko ?!!! Kwanza hii inatafuta nini kwenye forum ya Mapenzi na Mahusiano?

Maria Roza has no status.
Member
Join Date: Wed Apr 2009
Location: whateverr
Posts: 10
Thanks: 2
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0

Credits: 429
 
Haijakaa vizuri. Angalia dada kutaja hayo majina, yasije yakakutokea puani kama hauna ushahidi. Umeingia JF juzi tu, tayari ushafika huko ?!!! Kwanza hii inatafuta nini kwenye forum ya Mapenzi na Mahusiano?

...:) taratibu mkuu, kuku mgeni huja na kamba mguuni, muelekeze tu taratiiiiibu wapi 'bandani'...

Usiwe muongo kama...

...maria roza, message 'delivered', ila pengine ingependeza zaidi ungeipost hapo juu kwenye utani, au 'celebrities' kule na kama una ubavu wa kuisimamia na kuitetea hoja, basi ipeleke kwenye ukumbi wa Siasa.

Karibu sana JF
 
Back
Top Bottom