Elections 2010 Amri 10 za kuikomboa tanzania

The Invincible

JF-Expert Member
May 6, 2006
6,003
3,269
1. Usikumbatie waovu kama Kikwete

2. Usiwe mwizi kama Lowasa

3. Usiwe mwongo kama Makamba

4. Usiwe mnafiki kama Rostam

5. Usidharau pesa kama Chenge

6. Usikose msimamo kama Mrema

7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma

8. Msirumbane ovyo kama CCM

9. Usiwe na kiburi kama Mramba

Amri kuu
10. Usiipigie kura CCM

Habari ndo hiyo
 
Mkuu umealiza.....MOD mm nakupa ban usirudi mpaka baada ya week tatu zijazo.
 
1. Usikumbatie waovu kama Kikwete

2. Usiwe mwizi kama Lowasa

3. Usiwe mwongo kama Makamba

4. Usiwe mnafiki kama Rostam

5. Usidharau pesa kama Chenge

6. Usikose msimamo kama Mrema

7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma

8. Msirumbane ovyo kama CCM

9. Usiwe na kiburi kama Mramba

Amri kuu
10. Usiipigie kura CCM

Habari ndo hiyo

Takbirrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Halelu......yaani kama msahafu vile...kama torati ya nabii Musa.
 
zimewekwa 10, wewe hiyo ya 11 umeitoa wapi? ndo maana nimekujibu kwenye post mojawapo kuwa NINA MASHAKA NA UBONGO WAKO.

Akili yako ingekuwa inafunction vizuri basi ungejua kuwa hizi ni amri za Agano Jipya, na ruhsa kuongeza amri zingine. Sitoshangaa kama nikiambiwa utotoni uliugua degedege. :becky:
 
Takbirrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Halelu......yaani kama msahafu vile...kama torati ya nabii Musa.

Bahati mbaya ubalozi wa Vatican hauchagui rais wa nchi. Ni Watanzania wanaochagua. Kuna hati hati huyo balozi akatolewa dima baada ya uchaguzi. :becky:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom