mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,124
- 1,744
Kama sijakosea kipindi hiko kilianzishwa mwaka 2011 na kilijizolea umaarufu sana pia kikapata wadhamini wengi, Japo kwa sasa umaarufu wake sio kama awali kilipokuwa kinaanza, Na inasemekana ni kipindi ambacho kinaingiza mkwanja mrefu sana.
Sasa kipindi hiko nimekuwa nikikisikiliza nakubaini Habari zinazoluka hewani ndio habari ambazo ziko kwenye website ya Millard, Pia reporters wanaoripot kwenye vipindi ndio hao hao utawaona na kuwasikikliza kwenye you tube akaunti ya Millard, Pia jamaa muda mwinfi huandaa kipindi kwenye ofisi yake private.
Je Millard anagawana share ya pato linalopatikana kwenye kipindi na Clouds au Millard amenunua Airtime yote ya Kipindi hiko..?