Amos Makalla porojo hazitasaidia chochote , Walipeni fidia mliowachomea nyumba Chunya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
67,361
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
67,361 2,000
Kwenye Taarifa ya Habari ya ITV Usiku huu ameonekana Makalla akijikosha mbele ya wanakijiji wilayani Chunya na kuwarudisha tena kwenye maeneo yao ambayo WALIONDOLEWA NA SERIKALI CHINI YA MTUTU WA BUNDUKI KWA KUDHALILISHWA NA NYUMBA ZAO KUPIGWA KIBERITI .

Kwamba watu wale waliondolewa na kudhalilishwa kimakosa , sasa ni vema wote waliohusika na njama ile ya kishetani iliyojaa unyama unaozidi wa simba wa porini , siyo tu wajiuzulu bali wakamatwe na kushitakiwa huku wananchi wale wakilipwa fidia ya mali na nyumba zao tena haraka sana

Hakuna cha Mswalie Mtume hapa , mara zote tumewaonya kuwatumia polisi mtakavyo bila hata kuchunguza ukweli , sasa leo bila aibu wewe unarudi kwa wale Masikini mliowadhalilisha kwa kiwango cha kutisha namna ile huku ukijifanya una huruma wakati wewe ndio Mkuu wa usalama wa Mkoa .

Nakushauri ujiuzulu kabla hakujakucha .
 
Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
2,040
Points
2,000

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2013
2,040 2,000
Kwenye Taarifa ya Habari ya ITV Usiku huu ameonekana Makalla akijikosha mbele ya wanakiji wilayani Chunya na kuwarudisha tena kwenye maeneo yao ambayo WALIONDOLEWA NA SERIKALI CHINI YA MTUTU WA BUNDUKI KWA KUDHALILISHWA NA NYUMBA ZAO KUPIGWA KIBERITI .

Kwamba watu wale waliondolewa na kudhalilishwa kimakosa , sasa ni vema wote waliohusika na njama ile ya kishetani iliyojaa unyama unaozidi wa simba wa porini , siyo tu wajiuzulu bali wakamatwe na kushitakiwa huku wananchi wale wakilipwa fidia ya mali na nyumba zao tena haraka sana

Hakuna cha Mswalie Mtume hapa , mara zote tumewaonya kuwatumia polisi mtakavyo bila hata kuchunguza ukweli , sasa leo bila aibu wewe unarudi kwa wale Masikini mliowadhalilisha kwa kiwango cha kutisha namna ile huku ukijifanya una huruma wakati wewe ndio Mkuu wa usalama wa Mkoa .

Nakushauri ujiuzulu kabla hakujakucha .
mh!Kujiuzulu sio utaratibu Wa AFRICA mbona!?
 
white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,897
Points
2,000

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,897 2,000
Nilionya mapema sana kwamba KUMTEUA Makalla Mtu aliyekataliwa kwao Mvomero italeta shida sana , huwezi ukakataliwa kwenu hivi hivi tu
Halafu wananchi wao kuambiwa warudi eneo lile wameshangilia kweli!!daa hata kusema nyumba zetu zilizochomwa vipi ?kweli kutawala ngozi nyeusi raha sana jamani!!
 
Forum statistics

Threads 1,382,423
Members 526,380
Posts 33,828,250
Top