Amos Makalla ni moto humfuata yeye au yeye huufuata Moto kwenye Masoko? Sababu ni nini?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
We dare to speak openly. Nisiongee mengi ushahidi ni huu. Kutakuwa na nyota ambayo inaambatana na Amos Makalla. Sehemu nyingi anazokuwepo.

IMG-20210711-WA0009.jpg
 
Kwahiyo hapa magazeti yaandike kwamba. Makalla anatembelea moto harafu ndani waelezee
Fahamu hili.

Mwaka 2008 wakati soko la Tunduma linaungua moto mkuu wa wilaya ya mbozi alikua Amos Makalla.

Mwaka 2017 wakati soko la Sido, mbeya linaungua mkuu wa mkoa alikua Amos Makalla.

Mwaka 2021 wakati soko kuu la kariakoo, Dar mkuu wa mkoa ni Amos Makalla.
 
Back
Top Bottom