Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Never say never
 
Back
Top Bottom