Amos Josephat Madebwa, achukua fomu ya udiwani kupitia ACT-Wazalendo

ndyana

Senior Member
Jul 12, 2015
152
28
Amos Josephat Madebwa maarufu tajiri mtoto, amechukua fomu kugombea udiwani kupitia ACT-Wazando, kata ya Lusahunga, wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera.

Alisindikizwa na umati mkubwa wa watu.
attachment.php

 

Attachments

  • mtoto.jpg
    mtoto.jpg
    10.9 KB · Views: 287
Siasa ni kuamua, si kuamuliwa. Ni haki yake kugombea na atafanikiwa kama anataka kweli kukomboa wananchi.
 
Amos Josephat Madebwa maarufu tajiri mtoto, amechukua fomu kugombea udiwani kupitia ACT-Wazando, kata ya Lusahunga, wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera. Alisindikizwa na umati mkubwa wa watu.

Hivi ni macho yangu au,huo ndio umati mkubwa wa watu?
 
Back
Top Bottom