Ni hatua gani za kuchukua ili kitokomeza ugonjwa wa amoeba unao jirudia rudia?

Mkuu nitafute kwa wakati nipate kukutibia siku 30 utapona kabisa hayo maradhi yako ya Amoeba.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Tatizo mzizimkavu huna matawi mengi.Njoo huku mbeya matatizo ya matumbo yanataka kutuua.Njoo utuhudumie tuko tayari.
 
Mkuu mimi ninaaye wakala wangu yupo mjini Dar tukikubaliana tu ninakupa namba ya simu ya wakala wangu unamtumia pesa kwa njia ya Mpesa an yeye anakutumia dawa zako kw nji ya usafiri wa basi. Na utazipata daw zako n kuanza kuzitumia na utapona mimi mwenyewe nipo nje ya nchi kikazi.
 
Ninakushukuru,hapo nimekuelewa maana kila mtu hapa Mbeya nikimuuliza ofisi yako ya tiba asilia anadai hafahamu.Mimi baada ya majuma mawili ninakuja Dar nitahitaji nifike hapo ofisini kwako.Nahitaji nielewe kwa hapo mnapatikana wapi nina maana ofisi yako iko wapi!
 
Wewe ukiniamini nitakupa namba ya wakala wangu utawasiliana nae na kumpa pesa zako kisha wakala wangu atakutumia dawa zako kwa usafiri wa basi na utazipata na kuanza kuzitumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom