Amnesty International yataka Wapinzani waliokamatwa Ivory Coast kuachiwa huru

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shirika hilo limezitaka Mamlaka kumuachia huru Pascal Affi N’Guessan na wapinzani wengine ambao walikamatwa siku chache baada ya Mahakama ya Kikatiba kuthibitisha Alassane Ouattara kama Rais.

Siku chache zilizopita, Rais huyo alikutana na Mpinzani wake mkuu Henri Konan Bédié na baada ya mkutano wao wapinzani wamesema hakutakuwa na mzungumzo hadi waliokamatwa watakapoachiwa.

N’Guessan anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi baada ya kupinga ushindi wa Rais Ouattara anayeongoza Taifa hilo kwa awamu ya tatu. Kwa mujibu wa takwimu, watu 85 wamefariki na 484 kujeruhiwa katika vurugu hizo.

=====

Amnesty international has called for the immediate release of Ivory Coast's opposition leader, Pascal Affi N’guessan, and others who were arrested days after the constitutional court confirmed President Alassane Ouattara’s re-election.

Mr N’Guessan is facing charges of terrorism and sedition after rejecting President Ouattara's election win for a third term and announcing the establishment of a parallel government.

The rights group has also said several human rights abuses were committed before and after the electoral period, including attacks on demonstrators by people armed with machetes and guns.

President Ouattara last week held talks his main rival, Henri Konan Bédié, in the commercial hub of Abidjan to make peace in the country after weeks of violence over a disputed presidential election.

After the meeting the opposition said no dialogue would proceed unless all those arrested over election protests are freed.

Officially 85 people died while 484 were wounded in the electoral crisis.
 
Hii ndiyo Afrika bana. Ni kupiga maktaimu tu. Watu walikufa wakimpambania huyu Ouattara ili aingie madarakani kumbe naye ni wale wale. Ndiyo maana sitakaa nihatarishe maisha yangu eti nikipigania mwanasiasa. Nevaaaa !!!
 
Back
Top Bottom