Kwani Mbowe kajichanja pekeake akasahau nyie wafuasi wake?Peleka chato ukazike huo Ukinjenketile Ngwale wako! Hupimi, huna takwimu utawezaje kusema tumenusurika kwa kiasi gani?! Tumbafyuu kabisa!
Hakuna chanjo ya bure! Stuka.Asiyetaka muda hiari ukipita akija kutaka atailipia ....wengine tunaisubiri kwa hamu kubwa sana
Mimi sijapigwa chanjo yoyote na sina matatizo mpaka leo. Watanzania wengi wako salama! Chanjo itafutwe kama passport - je! Watanzania wangapi wana passport? Kama unataka kusafiri chanja.Mnataka wangapi wafe ndiyo msikilize tumepoteza mpaka viongozi wa juu kabisa!!! mnashindia kusema mebeberu tulete chanjo na kupata iwe hiari tatizo liko wapi? wengine tuna wazazi wanataka chanjo.
Hatuwezi kuwanyima watanzania wote chanjo kwa mawazo ya wachache! na haziuzwi madukani au hospitalini! Mimi binafsi nimepigwa chanjo March 5, 2021 sina tatizo lolote mpala leo!
Mkuu pole tunatambua uwepo wa hizo case...lkn haikuwa kwa ukubwa walioutegemea...Mungu alionekana farasi na mpanda farasi akawatupa baharini walisema tutakufa kama Maji yapitavyo katika MTO haikutokea. Mzee kwa hili alitumia akili kubwa sana Kenya kiko wapi?huko India na chanjo zao Marekani na chanjo zao wao ndio wanakufa Kama hakuwa Mungu aliyetupigania Israel na aseme sasa..Pumzika kwa amani Mzee wangu.Kachanje wewe na familia yako, sio kushinikiza taifa zima lichanje,
Mkuu pole tunatambua uwepo wa hizo case...lkn haikuwa kwa ukubwa walioutegemea...Mungu alionekana farasi na mpanda farasi akawatupa baharini walisema tutakufa kama Maji yapitavyo katika MTO haikutokea. Mzee kwa hili alitumia akili kubwa sana Kenya kiko wapi?huko India na chanjo zao Marekani na chanjo zao wao ndio wanakufa Kama hakuwa Mungu aliyetupigania Israel na aseme sasa..Pumzika kwa amani Mzee wangu.
Sawa ugonjwa upo. So what!!!. Ni suala binafsi. Mbona Gono lipo na hatujawahi kulazimishwa chanjo?Mnataka wangapi wafe ndiyo msikilize tumepoteza mpaka viongozi wa juu kabisa!!! mnashindia kusema mebeberu tulete chanjo na kupata iwe hiari tatizo liko wapi? wengine tuna wazazi wanataka chanjo.
Hatuwezi kuwanyima watanzania wote chanjo kwa mawazo ya wachache! na haziuzwi madukani au hospitalini! Mimi binafsi nimepigwa chanjo March 5, 2021 sina tatizo lolote mpala leo!
Kataa kuchanjwa wewe na familia yako,sio kushinikiza taifa zima lisichanjweKachanje wewe na familia yako, sio kushinikiza taifa zima lichanje,
Nani amekuambia ukifunga mlango jamazi haingii, hao waliofunga mlango kama mfanowako unavyosema vipi, jambazi haingii.Je, ipi ni busara, kufunga mlango wa nyumba yako kabla majambazi hayajakuingilia ndani au baada ya majambazi kukingilia?
Tumia akili kuchunga Afya yako!
Uliifuata nchi gani mkuuMnataka wangapi wafe ndiyo msikilize tumepoteza mpaka viongozi wa juu kabisa!!! mnashindia kusema mebeberu tulete chanjo na kupata iwe hiari tatizo liko wapi? wengine tuna wazazi wanataka chanjo.
Hatuwezi kuwanyima watanzania wote chanjo kwa mawazo ya wachache! na haziuzwi madukani au hospitalini! Mimi binafsi nimepigwa chanjo March 5, 2021 sina tatizo lolote mpala leo!
Hakuna ugonjwa mbaya kama kutengwa na mataifa. Ogopa sana hiliHatusemi kuwa hakuna aliyeathirika, bali tunasema Mungu ametuponya na kama Taifa lake vizuri mara elfu nyingi ukilinganisha na mataifa mengine! Hilo halina ubishi!
MkuuSoma hii upate ufahamu itakusaidia sana Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Kwa lugha ya Kitanzania-tafsiri sio rasmiMkuu
ukimficha kwa kutumia anuani mtandao utawakosesha wengine kuelewa kilichoelezwa
Kwa ufupi na nanukuu muhtasari wake
"...A scientist with a PhD in chemistry, President Magufuli abandoned Covid-19 testing after his own trials allegedly showed fruit juice and engine oil testing positive for the virus. Yet despite being widely ridiculed at the time, many are asking whether the late Tanzanian president was right, with European courts declaring tests unreliable – while the inventor of the Covid-19 PCR test is facing a multi-million-dollar law suit for ‘misleading’ world governments...." By Sonia Elijah.
Wewe utakuwa mtu mjinga mno kwa kuamini ule ushenzi wa Magufuli eti Tanzania haina corona kwa sababu tu aliamuru visa vya corona visitangazwe!Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona.
Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia na gia ya kumsifu na kumponda Hayati Magufuli kuhusu alivyoshughulika na corona. Wanamtaka afuate sayansi na kuachana na kuamini hadithi wao wanaita "myths"!!!
Hawa inabidi tuwaambie wazi kuwa kumtanguliza Mungu siyo kuamini hadithi!! Tanzania haikudharau sayansi Bali ilimtanguliza Mungu mbele ya sayansi!! Chonde chonde huu utaratibu usivurugwe!! Mungu amejibu maombi yetu kwa sababu tulimheshimu kwa wazi na dunia yote ikasikia!! Akaamua kutuponya kwa rehema zake na kwa kulitetea Jina lake mbele ya mataifa!
Si kwamba watanzania ndio tumekuwa wema sana mbele za Mungu! Tukibatilisha hii heshima tuliyompa na kuamua kutanguliza mawazo ya mabeberu wanaotanguliza "sayansi" na kumweka Mungu pembeni, tutakutana na yanayowakuta waliofuata mwelekeo huo!! India ni Taifa LA kwanza duniani kwa kuzalizasha chanjo kwa wingi zaidi lakini hilo halijawasaidia!! Marekani wana chanjo za ziada kwa mamilioni, lakini ndilo linaloongoza kwa kufa na corona!
Tanzania tuko salama hadi sasa mpaka wanashangaa!! Wao wameamua kuabudu sayansi sisi tumeamua kumtanguliza na kumwamini Mungu kuwa atatuokoa ma korona.
Mabeberu wamekuwa wakimsimgizia marehemu Magufuli kuwa alikataa uwepo wa corona. Siyo kweli! Alitambua uwepo wa corona lakini alitumia mbinu tofauti ya kukabiliana nayo. Yeye alikataa kuiga mbinu za mabeberu na akaamua kumtamguliza Mungu kwa kuitisha maombi! Dunia nzima japo wanakataa kukiri lakini wameshuhudia Tanzania tumekuwa salama dhidi ya corona ukilinganisha na mataifa mengine ikiwa ni yale yanayotaka kuiba utukufu wa Mungu kwa kushinikiza tufuate mbinu zao ili waseme ndizo zilizotuokoa vinginevyo tungeisha!
Naomba niwakumbushe: walisema Tanzania tumekataa lockdown tutaokota miili barabarani!! Hilo halijatokea! Mataifa mengi wimbi la pili na la tatu la corona limekuwa la hatari zaidi na wengi wamekufa na mpaka sasa wanakufa! Sisi Tanzania wimbi la pili halikuwa na nguvu Kabisa ndio maana hata shule hatukufunga! Wakati wa maombolezo ya Rais Magufuli watanzania kwa mamilioni walijitokeza kumuaga kwa mamilioni na kusongamana bila barakoa!!
Wakasema baada ya wiki mbili tutaanza kuokota miili barabarani maana tutakuwa tumeambukizana sana!! Haikutokea!! Watuache! Wasitupangie wala wasimshinikize mama kwa habari ya chanjo ya corona!!
Yamewashinda kwao wasiwe wataalamu wa kutusaidia sisi.
RAI yangu: Kama wanataka kutusaidia basi watupe pesa za kumalizia SGR na Stigler's George! Nawasilisha!!
Hilo linajulikana na sharti litokee kupitia maandiko matakatifu Ufunuo (Revelation) 13:18 huo ni mchakato wa mpinga Kristo au Masih DajjalIt is your choice! Isiwe lazima. Msijekulalamika kuwa mnabaguliwa mkikataliwa kwenda nchi za wenzenu.!