Tofauti yake ni nini?Hapa tunazungumzia corona, Usijitoe fahamu
India wako mbali sana na hili swala. Am telling you, muda si mtefu tutapata tu akili. Mwaka huu watu hakuna kwenda hija bila Chanjo. Itafika wakati tutabaki peke yetu ndio akilia itakaa sawaKuna nchi kibao kama India zenye uhitaji wa chanjo kwanini wasianze huko?
Madhara hayajakuwa makubwa lakini kusema tumeponywa wakati kuna watu wamepoteza mpaka 6 members wa familia ni kuwa insensitiveHatusemi kuwa hakuna aliyeathirika, bali tunasema Mungu ametuponya na kama Taifa take vizuri mara elfu nyingi ukilinganisha na mataifa mengine! Hilo halina ubishi!
Ulitaka dunia isubiri miaka 7 kutafuta chanjo ya ugonjwa ambao umeshaua millions. Risk benefit analysis inasema benefits ni kubwa kuliko risksHakuna aliyesema hatutaki dawa wala chanjo nyingine. Ila hi ya corona haijafanyiwa utafiti wa kutosha na madhara yake tayari yameanza kuonekana! Hakuna ajuaye madhara ya muda mrefu ya hii chanjo! Uk
India wako mbali sana na hili swala. Am telling you, muda si mtefu tutapata tu akili. Mwaka huu watu hakuna kwenda hija bila Chanjo. Itafika wakati tutabaki peke yetu ndio akilia itakaa sawa
Time will tellMlishatabiri Sana na BADO HAYAJATOKEA
Ila Watanzania kwa ujinga tumo sana. Aliyekwambia chanjo inazuia usiumwe au kufa nani? Hizo chanjo ziko kwenye majaribio. Zinaua, zinatoa mimba zinaharibu mzunguko kwa akina mama. Hayo ni madhara yanayojulikana. Kwa sababu ni za majaribio hakuna anayejua madhara yake kesho au baada ya miaka 10.Mnataka wangapi wafe ndiyo msikilize tumepoteza mpaka viongozi wa juu kabisa!!! mnashindia kusema mebeberu tulete chanjo na kupata iwe hiari tatizo liko wapi? wengine tuna wazazi wanataka chanjo.
Hatuwezi kuwanyima watanzania wote chanjo kwa mawazo ya wachache! na haziuzwi madukani au hospitalini! Mimi binafsi nimepigwa chanjo March 5, 2021 sina tatizo lolote mpala leo!
Tengenezeni yenuHakuna aliyesema hatutaki dawa wala chanjo nyingine. Ila hi ya corona haijafanyiwa utafiti wa kutosha na madhara yake tayari yameanza kuonekana! Hakuna ajuaye madhara ya muda mrefu ya hii chanjo! Uk
ukiwa na nafasi:Hakuna hata mtu mmoja aliye chanjwa amekufa kwenye Dunia hii mpaka leo. Hapa US wamechanja zaidi ya watu milioni 150 hakuna hata mmoja kafa au kulazwa. Kuna chanjo moja tu ya kampuni ya J& J ambayo wanawake sita waliumwa kati ya milioni 7 waliochanjwa lakini wot wazima . India wamechanja wachache sana mnaona yanayotokea kule
Kwenye hili la Covid, ni Mungu pekee kusimama hakuna cha sanitizer, barakoa wala chanjo hapo. Uhindini pamoja na kuwa na chanjo bora kabisa ila mdudu kawatikisa vibaya mno sisi ni kina nani kama sio Mungu kuwa pamoja nasi?.Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona.
Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia na gia ya kumsifu na kumponda Hayati Magufuli kuhusu alivyoshughulika na corona. Wanamtaka afuate sayansi na kuachana na kuamini hadithi wao wanaita "myths"!!!
Hawa inabidi tuwaambie wazi kuwa kumtanguliza Mungu siyo kuamini hadithi!! Tanzania haikudharau sayansi Bali ilimtanguliza Mungu mbele ya sayansi!! Chonde chonde huu utaratibu usivurugwe!! Mungu amejibu maombi yetu kwa sababu tulimheshimu kwa wazi na dunia yote ikasikia!! Akaamua kutuponya kwa rehema zake na kwa kulitetea Jina lake mbele ya mataifa!
Si kwamba watanzania ndio tumekuwa wema sana mbele za Mungu! Tukibatilisha hii heshima tuliyompa na kuamua kutanguliza mawazo ya mabeberu wanaotanguliza "sayansi" na kumweka Mungu pembeni, tutakutana na yanayowakuta waliofuata mwelekeo huo!! India ni Taifa LA kwanza duniani kwa kuzalizasha chanjo kwa wingi zaidi lakini hilo halijawasaidia!! Marekani wana chanjo za ziada kwa mamilioni, lakini ndilo linaloongoza kwa kufa na corona!
Tanzania tuko salama hadi sasa mpaka wanashangaa!! Wao wameamua kuabudu sayansi sisi tumeamua kumtanguliza na kumwamini Mungu kuwa atatuokoa ma korona.
Mabeberu wamekuwa wakimsimgizia marehemu Magufuli kuwa alikataa uwepo wa corona. Siyo kweli! Alitambua uwepo wa corona lakini alitumia mbinu tofauti ya kukabiliana nayo. Yeye alikataa kuiga mbinu za mabeberu na akaamua kumtamguliza Mungu kwa kuitisha maombi! Dunia nzima japo wanakataa kukiri lakini wameshuhudia Tanzania tumekuwa salama dhidi ya corona ukilinganisha na mataifa mengine ikiwa ni yale yanayotaka kuiba utukufu wa Mungu kwa kushinikiza tufuate mbinu zao ili waseme ndizo zilizotuokoa vinginevyo tungeisha!
Naomba niwakumbushe: walisema Tanzania tumekataa lockdown tutaokota miili barabarani!! Hilo halijatokea! Mataifa mengi wimbi la pili na la tatu la corona limekuwa la hatari zaidi na wengi wamekufa na mpaka sasa wanakufa! Sisi Tanzania wimbi la pili halikuwa na nguvu Kabisa ndio maana hata shule hatukufunga! Wakati wa maombolezo ya Rais Magufuli watanzania kwa mamilioni walijitokeza kumuaga kwa mamilioni na kusongamana bila barakoa!!
Wakasema baada ya wiki mbili tutaanza kuokota miili barabarani maana tutakuwa tumeambukizana sana!! Haikutokea!! Watuache! Wasitupangie wala wasimshinikize mama kwa habari ya chanjo ya corona!!
Yamewashinda kwao wasiwe wataalamu wa kutusaidia sisi.
RAI yangu: Kama wanataka kutusaidia basi watupe pesa za kumalizia SGR na Stigler's George! Nawasilisha!!
Muda huu wanajifanya wanatupenda sana! Kama wana nia njema watusaidie kumalizia reli ya standard gauge na mradi wa umeme wa Stiglers George!
Hi Hivi mnakumbuka jinsi walivyoupiga vita mradi wa umeme wa Stiglers Gorge? Haya mapenzi ya Ghafla yametoka wapi?
Wasitupangie!
Wazee wa keyboard mie sitoshangaa Mama akaleta hizo chanjo halafu nyie watu msitokee hsta mmoja kudungwa hizo chajo.Mama asifanye ajizi kwanza fedha hizo ni zetu walipakodi
Peleka chato ukazike huo Ukinjenketile Ngwale wako! Hupimi, huna takwimu utawezaje kusema tumenusurika kwa kiasi gani?! Tumbafyuu kabisa!Hizi kauli ongea kama Covid haijapita na mtu wako wa karibu.