Amnesty International: Tanzania must provide evidence to back-up charges or release political opposition leader

CCM hawakawii kusema kwani hao Amnesty International mambo ya ndani ya Tanzania yanawahusu nini?
 
Hiki ni kiherehere tu; kwani kama kesi iko mahakamani si ni kwamba ushahidi utatolewa kwa mahakimu? Ni afadhali wasubiri waone ushahidi kwanza halafu waupinge kuliko kufanya hii preemptive moves ambazo zinaweza kuleta shaka kwenye credibility yao, yaani kuwa wao ni wa kupingana na serikali tu - wameshachagua side ya kukaaa mezani kabla ugali haujaiva
Wanajua hii ni serekali dhalimu ya kipuuzi
Ushahidi ni matukio yaliyopita
 
4 August 2021

Tanzanian authorities must promptly provide evidence to substantiate charges against opposition leader Freeman Mbowe, or else release him, said Amnesty International ahead of his appearance in a Dar es Salaam court tomorrow. At the time of releasing this statement, police had on 3 August arrested several members of the opposition Party of Democracy and Progress (Chama cha Demokrasia na Maendeleo in Swahili), officially known as Chadema, and a lawyer ahead of planned protests on 5 August against the arrest and continued detention of Mbowe in what appears to be a growing crackdown against the political opposition.

Mbowe is facing charges related to economic crimes and financing terrorist activities between May and August 2020, following his arrest in the early hours of 21 July during a raid on a hotel in Mwanza, northern Tanzania, along with 11 other Chadema officials and staff. Police arrested a further three people associated with Chadema later the same day. All of those arrested at that time have since been released without charge, except for Mbowe.

“Freeman Mbowe was arrested just hours before he was due to launch a programme calling for constitutional reform in Tanzania. The timing of his arrest raises questions around whether this was a tactic to silence critical voices and the onus is now on the authorities to provide evidence to back-up the charges or else promptly release him”, said Deprose Muchena, Amnesty International’s Director for East and Southern Africa.

“Since President Samia Suluhu Hassan’s inauguration, the Tanzanian government has taken some encouraging steps towards allowing greater freedom of expression and association in the country. This case is a concerning development that casts doubt on whether that progress will continue or whether repression will once again be the order of the day.”

Freeman Mbowe was not presented in court until 26 July, more than five days after his arrest. After being charged, he was then transferred from Oysterbay Police Station in Dar es Salaam to Ukonga Prison, also in Dar es Salaam, on 26 July. While Tanzanian law does not specify say how long a suspect may be held before being taken to court, regional and international human rights standards are clear that the state has a legal obligation to present an accused person promptly before a court of law, usually within 48 hours of their arrest.

His 11 colleagues, who were held at Mwanza, were released on 24 July while the other three, who were arrested in Mwanza and transported to Dar es Salaam Central Police Station, were released on 25 July. They were informed that they had been arrested for illegally gathering and contravening Covid-19 prevention measures, although such restrictions are not publicly available in the country.

“While the government of Tanzania has been rethinking its approach to Covid-19 in a positive way and joining the global effort to fight the virus, authorities must not use the pandemic as a justification to target and harass opposition parties. Instead, the authorities must ensure that any restriction imposed to address the public health crisis is widely distributed among the population and not weaponized to silence critical voices,” said Deprose Muchena.

Background

Freeman Mbowe is facing charges of “Conspiracy contrary to Section 4 and 27 of the Prevention of Terrorism Act” and “Violation of the Economic and Organized Crime Control Act”, regarding allegations dating back to the period between May and August 2020. It is not clear why the state waited until last month to arrest him and bring him to court on these charges after he convened a meeting to call for constitutional reform.
Tunaendelea kutawaliwa kimabavu safari mwanamama ndio anayetutesa. Mungu tusaidie kama ulivyofanya mwanzoni mwa mwaka huu!
 
Wanajua hii ni serekali dhalimu ya kipuuzi
Ushahidi ni matukio yaliyopita
basi wasiseme kuwa serikali itoe ushahidi, waseme tu kuwa serikali imwachie bila sharti lolote. Wakiomba ushahdi, inabidi wausubiri utakapotolewa mahakamni.
 
Wananchi wapi?. Sema inaongeza chuki kwako, hakuna mwananchi mwenye akili timamu akachukizwa kukamatwa kwa gaidi. Tena operation ungeendelea mule saccos, kungepatikana magaidi mengine mengi tu..
Swali kupoteza muda kukujibu.
Huna akili.
 
4 August 2021

Tanzanian authorities must promptly provide evidence to substantiate charges against opposition leader Freeman Mbowe, or else release him, said Amnesty International ahead of his appearance in a Dar es Salaam court tomorrow. At the time of releasing this statement, police had on 3 August arrested several members of the opposition Party of Democracy and Progress (Chama cha Demokrasia na Maendeleo in Swahili), officially known as Chadema, and a lawyer ahead of planned protests on 5 August against the arrest and continued detention of Mbowe in what appears to be a growing crackdown against the political opposition.

Mbowe is facing charges related to economic crimes and financing terrorist activities between May and August 2020, following his arrest in the early hours of 21 July during a raid on a hotel in Mwanza, northern Tanzania, along with 11 other Chadema officials and staff. Police arrested a further three people associated with Chadema later the same day. All of those arrested at that time have since been released without charge, except for Mbowe.

“Freeman Mbowe was arrested just hours before he was due to launch a programme calling for constitutional reform in Tanzania. The timing of his arrest raises questions around whether this was a tactic to silence critical voices and the onus is now on the authorities to provide evidence to back-up the charges or else promptly release him”, said Deprose Muchena, Amnesty International’s Director for East and Southern Africa.

“Since President Samia Suluhu Hassan’s inauguration, the Tanzanian government has taken some encouraging steps towards allowing greater freedom of expression and association in the country. This case is a concerning development that casts doubt on whether that progress will continue or whether repression will once again be the order of the day.”

Freeman Mbowe was not presented in court until 26 July, more than five days after his arrest. After being charged, he was then transferred from Oysterbay Police Station in Dar es Salaam to Ukonga Prison, also in Dar es Salaam, on 26 July. While Tanzanian law does not specify say how long a suspect may be held before being taken to court, regional and international human rights standards are clear that the state has a legal obligation to present an accused person promptly before a court of law, usually within 48 hours of their arrest.

His 11 colleagues, who were held at Mwanza, were released on 24 July while the other three, who were arrested in Mwanza and transported to Dar es Salaam Central Police Station, were released on 25 July. They were informed that they had been arrested for illegally gathering and contravening Covid-19 prevention measures, although such restrictions are not publicly available in the country.

“While the government of Tanzania has been rethinking its approach to Covid-19 in a positive way and joining the global effort to fight the virus, authorities must not use the pandemic as a justification to target and harass opposition parties. Instead, the authorities must ensure that any restriction imposed to address the public health crisis is widely distributed among the population and not weaponized to silence critical voices,” said Deprose Muchena.

Background

Freeman Mbowe is facing charges of “Conspiracy contrary to Section 4 and 27 of the Prevention of Terrorism Act” and “Violation of the Economic and Organized Crime Control Act”, regarding allegations dating back to the period between May and August 2020. It is not clear why the state waited until last month to arrest him and bring him to court on these charges after he convened a meeting to call for constitutional reform.
Binadamu kama Binadamu wameongea.
 
Ushahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Wewe ni mjinga kwa sababu huelewi member state obligations kwenye huzi international organizations.
 
Hakuna cha ushahidi. Kesi itafutwa ..... Ataachiwa leo.
 
This is stupidity of the highest degree- Provide evidence to who- I think the matter is before the court of law were the dual process is highly observed.
Ni kichaa pekee ndiye anaamini kuwa Tanzania tuna mahakama katika maana ya mahakama. Mahakama ambayo ipo kwaajili ya kuekekezwa uamuzi wa kufanya na Rais, inakuwa mahakama au kitengo cha Rais?
 
Hakuna cha ushahidi. Kesi itafutwa ..... Ataachiwa leo.
kwasababu Mmarekani amekuja kupiga goti kwa mama? na machadema wakaambiwa watulie, wawe na heshima waache ujinga pindi atakapoachiwa. pamoja na hayo, ameshajifunza adabu, siku nyingine atakuwa na heshima.
 
Wewe ni mjinga kwa sababu huelewi member state obligations kwenye huzi international organizations.
we ndio mburura kabisa, hebu nitajie obligations ambazo nchi inaweza kuwa nazo kwenye mashirika ya kimataifa ya kawaida kabisa ambayo hatujatia saini. hatuwajibiki kwa lolote, sema tu tukiamua kufanya ni kukwepa kuchafuliwa tu, nothing more. hebu tuambie, sisi kama nchi tunawajibika vipi kwa amnesty international ambayo hadhi yake haiko mbali sana na legal and human rights centre ya Dar es salaam. na hiyo "member state" unalega member wa nini, kuna member wa vitu vingi, member wa UN, member wa ICC, member wa mkataba fulani, member....., wewe unalenga kwamba kwa amnesty international sisi ni member wa organisation ipi? shwain.
 
Hiki ni kiherehere tu; kwani kama kesi iko mahakamani si ni kwamba ushahidi utatolewa kwa mahakimu? Ni afadhali wasubiri waone ushahidi kwanza halafu waupinge kuliko kufanya hii preemptive moves ambazo zinaweza kuleta shaka kwenye credibility yao, yaani kuwa wao ni wa kupingana na serikali tu - wameshachagua side ya kukaaa mezani kabla ugali haujaiva
Credibility ya Amnest International? You gotta be joking, hilo shirika lina credibility mara milioni zaidi ya Tanzania, majority of our citizens are zombies kwani kama ni suala credibility ukiweka hypocrisy pembeni utawala wetu uanze kwa utaratibu wa kufuata haki na sheria ili uwe credible.
 
Mbegu ovu aliyoipanda magufuli italitafuna taifa hadi kizazi 9/10.
Hakuna rais ataingia Ikulu akatenda haki kwa wapinzani,wote watafuata ya mtangulizi wao WA dhuluma.
Magu was another version of Idd Amin.
 
Credibility ya Amnest International? You gotta be joking, hilo shirika lina credibility mara milioni zaidi ya Tanzania, majority of our citizens are zombies kwani kama ni suala credibility ukiweka hypocrisy pembeni utawala wetu uanze kwa utaratibu wa kufuata haki na sheria ili uwe credible.
wewe ni mpumbavu, usifananishe Tanzania na international NGO. Tanzania imekuwepo kabla ya hiyo takataka, Tanzania ni member wa UN na mashirika makubwa duniani, Tanzania ni sovereign country...icho kitakataka hakina popote pa kushika, hata funding yake wanategemea wafadhili, kinaweza kufa any time. pia we are not bound by then in anyway, kwasababu ni shirika dogo sana, ila lina mdomo sana kuweza kukuchafua kama chadema mnavyoweza kuchafua hali ya hewa, ilo tu basi.
 
Kwani sisi tuna mahakama katika maana ya mahakama?
Kama uko nchini utaelewa… akina mdude tulieashangilia humohumo, akina Mbowe Pesa zao ziliponea huko, akina sabaya wanapigiliwa nyundo humohumo nk.

but if you are on the online republic then you can create your own
 
Mbowe amekuwa akifanya siasa za Upinzani tangu kuasisiwa kwake rasmi 1992.

Tangu 1992 hadi leo hii imepita miaka 29, hivyo kwa exposure ya Mbowe kwenye Siasa za Nchi hii sio ya kubeza. Ameweza kutengeneza marafiki wengi ndani na Nje ya Nchi wakiwemo hao akina Amnesty international.

Kama lengo ilikuwa kumuonesha nguvu aliyonayo Mhe. Rais, nadhani ameshaona na kujifunza.

Huko mnakotaka muende si sahihi, tutaanza kurudi kulekule kwa mwendazake na mwisho wa siku Nchi itarudi nyuma kwenye kila kitu kuanzia Uchumi n.k na itapelekea Wawekezaji kuanza kuondoa mitaji yao Sokoni kwani si rahisi mfanyabiashara kuwekeza sehemu yenye Magaidi na Ugaidi labda iwe biashara ya SILAHA.

Pili viongozi mliopewa dhamana ya Kumshauri Mhe. Rais mshaurini kwa hekima na Busara na sio Mihemko.

Mambo yakiwa magumu hakuna Miradi ya maendeleo itajengwa, kumbukeni hao Nchi wahisani wanachangia almost 46% ya Bajeti yetu hivyo wakiondoa Misaada yao kwenye Bajeti Mama hali ya Nchi itakuwa mbaya zaidi.

Siasa si Uadui. Akina Dr Slaa, Steven Wassira, David Kafulila si walikuwa Upinzani mbona leo hii wanatumikia Serikali? Acheni wanasiasa wafanye Siasa ili kupata mawazo mbadala.
Well presented mkuu.
 
Mbowe amekuwa akifanya siasa za Upinzani tangu kuasisiwa kwake rasmi 1992.

Tangu 1992 hadi leo hii imepita miaka 29, hivyo kwa exposure ya Mbowe kwenye Siasa za Nchi hii sio ya kubeza. Ameweza kutengeneza marafiki wengi ndani na Nje ya Nchi wakiwemo hao akina Amnesty international.
Umaarufu wa Mbowe umezidi mara 100 ule wa Samia , yaani Samia ukiacha huu urais wa kuokota hakuna anapojulikana
 
Ni kichaa pekee ndiye anaamini kuwa Tanzania tuna mahakama katika maana ya mahakama. Mahakama ambayo ipo kwaajili ya kuekekezwa uamuzi wa kufanya na Rais, inakuwa mahakama au kitengo cha Rais?
Hamia Burundi Mkuu isiwe tabu
 
Back
Top Bottom