Amkeni

Oyono

JF-Expert Member
Sep 9, 2013
222
35
Khabari za asubuhi wadau?, amkeni kumekucha make huku rulenge ngara hatulari majambazi wamekua balaa!, huku raia hatuna amani kila ucku lazima wafanye vamizi! askari polisi wapo lakini wakifika eneo la tukio wanarudi kituoni sasa sijui wanakazi gani?
 
Back
Top Bottom