Amkeni, amkeni Profesa ameanza kulaumiwa huku

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,159
2,000
Naona hata clouds wameshindwa kuizungumzia mechi ya yanga.

Kweli GSM wanajua fitina..jamaa washapigwa hela waipotezee.
Sio
Yanga inaogopwa na kalibu kila mtu kuisema vibaya.
Ndio maana hata vyombo vya habari vinaandika na kuizungumzia kwa mazuri tu.

Inaambiwa ni timu ya Wananchi.
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Wahuni wa naija wamefanya nchi iko kimya no tantalila upande wa matopeni.

Kapumbu alifungulia
Na semaji linakula raha kama halina akili timamu vile
FB_IMG_1631647099990.jpg
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,159
2,000
Eti

"wanafungwa na mshahara napata"

Msimchongee mwenzenu jamani anaipenda hiyo kazi kuliko chochote kile.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom