Amka nanyanyuka tena usikatishwe tamaa na watu na wewe jifunze jambo hili muhimu

Showio

JF-Expert Member
May 16, 2019
255
481
Mtoto anapotembea kwa mara ya kwanza ni tukio la kusisimua. Kila mtu nyumbani hufurahia na kusimuliana jinsi alivyopiga hatua tatu za mwanzo. Huwa hawasimuliani kuwa amepiga hatua chache au ameanguka baada ya hatua tatu. Wote husimulia kuwa anatembea. Wazazi hufurahi zaidi maana mtoto wao ametembea.

Iwe hivyo tunapomwona mtu akiwa anayumba na kujitahidi kupiga hatua chache za maendeleo. Amefata mzigo ameuza, amepata faida kiduchu au imemkata, usimzomee na kuona hawezi. Usimvunje moyo kuwa hawezi kabisa. Furahia kwa vile amepiga hatua za mwanzo. Ameweza kunyanyua miguu na kuubeba mwili wake.
 
Well said
 
Katika maisha yangu, nilisha sema kwamba sinto wasikiliza walio shindwa eti wanasema nini, kwasababu always they are thinking negatively
 
Back
Top Bottom