Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Mama Rais ni mtu mkubwa ktk jamii yetu,huyu ana mchango mkubwa wa maisha yetu ya kila siku;nadhani Mama Salma ametambua kuwa ni heri aende front tu maana hata kama akikaa kimya mwisho wa siku watakapojitokeza watesi wa JK yeye Salma hatakaa salama naye yumo,ameliona mapema hilo wacha ashughulike kivyake,angalia jana alivyowafariji mahujaji,kaza mwendo bi Mkubwa ndio siasa.
Hilary huyo anaisaka Ikulu wewe weka msingi wa watakaokufuata hapo Ikulu mama.