FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Kwani imekuaje, kuna mtu kala chapati za 1.1 bn nini?
Wengi wao waswahili na waendesha maloriHahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here
hapana kuna softiweya maalum kutoka kwa makamongosiHivi ni chapati hizi hizi za kusukuma kwa unga au ? Hawa Kamongo hawachelewi kujitetea zilikuwa na ukubwa wa tairi la trekta
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo hujafungua code mkuu, fungua code ujue vidume wanashabikia kitu gani
Ha ha ha, Chapati chakula kikuu cha Wagosi wa kaya wa Tanga.Tanga Kuna chapati Barbara ya 19 zinapikwa pale na maharage ya kukata then Kuna Oda dsm kila siku asubuhi zinabebwa mpaka dsm..ukifika pale unakuta gari zimepangana watu wanazigombea..
Kuna wamama Kama ishirini kila mtu na kikaango chake.. aisee ni hatari..
Chukua hiyo ushushie chapati zako, sagi sana na hutojuta Aisee!!Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here
Haupo mbali na saana tuliautaelewa ..mkuuNimekuja faasta...nikajua inahusiana na inshu ya CAG
Hahaha kamongo wapuuzi wazee wa ku overrate!Hivi ni chapati hizi hizi za kusukuma kwa unga au ? Hawa Kamongo hawachelewi kujitetea zilikuwa na ukubwa wa tairi la trekta
Sent using Jamii Forums mobile app
Machapati ya kupikwa hivyo ni ya hovyo kweli. Nishakulaga sehemu moja hivi na mchuzi haueleweki yani tafrani.Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here
Hafunsi ipo karibu na Makama ya Mwanzo.
Nimemiss Mpwapwa Aisee. Kikombo, Igovu, Mji mpya, Mwanakianga, Ng'ambo, Hazina etc. Nitajitahidi nije this year.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe wa Mamvua wewe ahahah pamoja sana ,Hafuns hotel ,kitambo sana Mpwapwa ndio nyumbani mitaa ya Ng‘ambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww utakua wa pale ngambo mpk huyo Mzee Mbala unamfaham ahaha,hata mimi yaweza kuwa unanifaham ,nipo jirani kabisa na kanisa la Anglikan pale ,nakuja pm mkuu.Ha ha ha, nimezaliwa pale mkuu ila originally ni kaskazini huko ila nakubali sana mpwapwa ndio company zangu za utotoni zipo kule, ng'ambo sehemu ghani mkuu kwa mzee mbala? Au makondeko? Kitambo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mkuu mimi ni Raia mwema.Tukikupa ujumbe wa bodi si utatafuna fi birioni fyetu wewe?
Mkuu ww utakua wa pale ngambo mpk huyo Mzee Mbala unamfaham ahaha,hata mimi yaweza kuwa unanifaham ,nipo jirani kabisa na kanisa la Anglikan pale ,nakuja pm mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app