Amini usiamini, hizi hapa chapati za shilingi 1.1 b

Tanga Kuna chapati Barbara ya 19 zinapikwa pale na maharage ya kukata then Kuna Oda dsm kila siku asubuhi zinabebwa mpaka dsm..ukifika pale unakuta gari zimepangana watu wanazigombea..
Kuna wamama Kama ishirini kila mtu na kikaango chake.. aisee ni hatari..
Ha ha ha, Chapati chakula kikuu cha Wagosi wa kaya wa Tanga.
Yaani unakuta dume zima linakwenda kupata lunch ya chapati, chai ya rangi na maharage pale Ubiri Cafe! Watu wa Tanga hatari sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona

am better here
Chukua hiyo ushushie chapati zako, sagi sana na hutojuta Aisee!!
images%20(3).jpeg


“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Chapati za kimara stop over pembeni kituo cha daladala upande kama unatokea mjini zinaweza fika hiyo bei.

Pia kuna mama pale kituo cha daladala mlimani city kama unatokea Mwenge karibu na 5N zinaweza kuzidi kidogo hiyo bei hahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Fursa kwa vijana Dodoma ukianzisha chapati hotel viongoz wa ficiem wakihamia wanaeka bili ya 1.1bilion only for chapati achia mbali chai nzito ya maziwa
 
Ha ha ha, nimezaliwa pale mkuu ila originally ni kaskazini huko ila nakubali sana mpwapwa ndio company zangu za utotoni zipo kule, ng'ambo sehemu ghani mkuu kwa mzee mbala? Au makondeko? Kitambo sana.
Mkuu kumbe wa Mamvua wewe ahahah pamoja sana ,Hafuns hotel ,kitambo sana Mpwapwa ndio nyumbani mitaa ya Ng‘ambo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha, nimezaliwa pale mkuu ila originally ni kaskazini huko ila nakubali sana mpwapwa ndio company zangu za utotoni zipo kule, ng'ambo sehemu ghani mkuu kwa mzee mbala? Au makondeko? Kitambo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww utakua wa pale ngambo mpk huyo Mzee Mbala unamfaham ahaha,hata mimi yaweza kuwa unanifaham ,nipo jirani kabisa na kanisa la Anglikan pale ,nakuja pm mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi una maanisha chapati chapati chapati hizi chapati au umetumia lugha nyingine?
Yaani chapati utumie 1b!!
Slim5
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom