Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,957
- 8,073
Yote kheri
Nipe ramani mkuu,chumbageni sehemu gani..Au chumbageni kwa Mwanjame, anapika chapata ina pages nyingi kama counter book afu lainiiii ka na naniii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako wapi hawa mkuu, niwawekee order wajumbe wa bodi
Na yeye tutampelekea chapati zakeutaingia kwenye 18 za CAG
Jaribu kula za 1.1 B uone radha yakeHahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here
Hahahaaa mkuu hii Shabati natoka Maskat wallahi!!kizuri kula na nduguyo...!
wapi hii mkuu nije na wajumbe wa BODI!
Tukikupa ujumbe wa bodi si utatafuna fi birioni fyetu wewe?Hivi sasa ndiyo vitu vya hamu,Haina aja ya kuishika utaitambua kwa Macho tu.
Hafunsi ipo karibu na Makama ya Mwanzo.mpwapwa sehemu gani? Nipo hapa Mji Mpya... Nyuma ya TAMESCO...?
Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here