MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Uongo mtupu! Kwa nini unapublish picha hii huku ukijua ni uongo! Ndio maana umejiita msaga sumu! Na hapa naona umeamua kumsagia hiyo sumu Obama!
Msagie wewe basi maziwa kwa kuleta picha ya ukweliUongo mtupu! Kwa nini unapublish picha hii huku ukijua ni uongo! Ndio maana umejiita msaga sumu! Na hapa naona umeamua kumsagia hiyo sumu Obama!
Kiatu anachovaa huyu jamaa hata ukitembelea kwenye mawe hakifikii hali hii.Huyu mjaluo alikuwa antembea sana, hata baada ya kuwa presida.... Check youtube.