Amini, Hakuna Mwanasiasa asiyekuwa na wafuasi

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,557
2,853
Wako wafuasi wa vyama vya Siasa bila kujali Usafi wa Viongozi, Sera za vyama vyao.Pia wapo wanaompenda Mwanasiasa haijalishi Matope aliyopakwa au aliyojipaka!

Nimethibitisha hilo kupitia kwenye idadi ya wajumbe waliohudhuria na kumpitisha Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF, inaonyesha bado ana ushawishi ndani ya chama Chake pamoja na Usaliti na hujuma dhidi ya chama chake!

Pia kupitia Edward Lowasa! Alipokuwa CDM wengi walipenda, karudi CCM bado anawafuasi pamoja na tuhuma na Makandokando yake mengi.

Kweli hakuna Binadamu Mkamilifu nawapongeza Royal followers msiojari kipi kiongozi anakipitia/kukabiliana nacho. Bado mnaonyewa kumpenda/kumwamini.

Siasa sio Uadui.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom