Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa, Amina Salim Ali.
Huyu ni mwanamke mwingine wa shoka anayeiweka Bongo katika ramani ya kimataifa pamoja na kina dk. Asha-rose Migiro ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Nataifa pia Profesa Anna Tibaijuka bosi wa Shirika la kimataifa la makazi (UNHABITAT) na kadhalika