Amina Chifupa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amina Chifupa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apta Kayla, Jun 26, 2011.

 1. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni miaka minne sasa tangu kifo kilipotutenganisha nawe tarehe 26.6.2007, tunashukuru kwa mchango wako juu ya madawa ya kulevya ulioutoa kule mjengoni. Ulitutoka siku ya kupiga vita matumizi mabaya ya dawa za kulevya, tulikulilia sana tukiongozwa na aliyekuwa Speaker wa Bunge letu Mzee 6. Wakuu wa usalama wakatuambia walibahatika kufanya mahojiano nawe mara baada ya mchango wako ulioutoa Bungeni, wakatuambia uliwapa ile orodha ya Majina ya waagizaji wa madawa ya kulevya, wakatuambia wanaifanyia kazi ila mpaka leo hatujapata matokeo.
  Pumzika kwa Amani Mpendwa.
   
 2. Garmii

  Garmii Senior Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapambanaji kama hawa huwa hawaishi maisha marefu i don know why!
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  washazaliwa wengine wapambanaje...hayo ndio maajabu ya Sir God!! RIP
   
 4. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo Mwenyezi Mungu alipoficha siri nzito ya uwezo wake juu yetu wanaadamu. Kama tungeijua siri ya kuzuia kifo, she would be here with us at a great cost, vijana kama huyu wangetusaidia sana kukemea uovu serikalini.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mala nyingi huwa ni hivyo,wapiganaji wa ukweli huwa hawadumu na wakidumu maisha yao huwa ni ya tabu sana

  lala salama dada amina bado tunakukumbuka kwa ujasiri wako

  lakini hata waliokutoa uhai hawawezi kudumu daima nao kifo kinawanyemelea tena watakufa mdomo ukiwa juu kama mbwa kichaa
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona hawa clouds awatangazi au ndo mwisho toka afe..r i p minah....
   
 7. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  siku ya leo "mpambanaji" "SITTO KABWE" ana majonzi kweli kweli...R.I.P AMINIA
   
 8. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona wapo Busy na Fiesta, wameshasahau mchango wake katika ukuaji wa redio yao.
   
 9. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima, mpambanaji lazima amlilie mpambanaji mwenza. Halaf aliwahi kutuambia kabla hajafariki walikuwa wanaandaa kitabu abt Maisha ya Amina, akaahidi kusimamia utokaji wake, miaka 4 sasa, hatujaona matokeo.
   
 10. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  R.i.p mpiganaji AC...
   
 11. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  AMINA CHIFUPA"MPAKANJIA"..REST IN PEACE.LEO UMETIMIZA MIAKA TAKRIBANI (3) TANGU UTUTOKE..Mpiganaji,mwanaharakati na Mwanasiasa kijana uliyelitumikia Taifa lako kwa moyo wa kizalendo,Mungu akupumzishe kwa Amani.
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  AMINA CHIFUPA"MPAKANJIA"..REST IN PEACE.LEO UMETIMIZA MIAKA TAKRIBANI (3) TANGU UTUTOKE..Mpiganaji,mwanaharakati na Mwanasiasa kijana uliyelitumikia Taifa lako kwa moyo wa kizalendo,Mungu akupumzishe kwa Amani.
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Pole kwa kumkumbuka,japo mie sikuona chochote alichofanya kwenye siasa....Peleka kwenye celebrity forum mkuu.............
   
 14. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  mkuu tuko pamoja sana.... lazima tuandike historia bila kuweka usanii. hakuna kitu alichokifanya ... alikuwa msaniii mzuri
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  HUYO AMINA CHIFUPA NI NANI??NA ALIfANYA NINI MPAKA AKUMBUKWE HAPA??
   
 16. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rip amina chifupa,lkn vp kuhusu mmewe tunamkumbuka lini?
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Alikuwa mwanasiasa na hili ni jukwa la siasa,So kama alifanya mabaya au mazuri ni kesi nyingine.Mm namuenzi kwa jukwa alilokuwa anasimama hadi umauti unamkuta.
   
 18. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wauza unga..
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kama hukuona wengine tuliona mkuu, hata marehemu unamtolea macho?
   
 20. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni mwanasiasa, na hili ni jukwaa la siasa
   
Loading...