Amfumania mume wake na house girl, alimlipisha pesa ili yaishe

Mahouse girl wengine huwa ni wasumbufu sana iko siku nikiwa peke yangu naangalia Tv kumbe amekuja kukaa nyuma yangu huku kajifunga khanga moko

Kwakweli nilighadhabika sana nikawa namfikiria sana hatimae nikamla kwa ghadhabu nikamvuta na manywele yake.
Unataka kutuambia hasira yako ndo ilipelekea kumla? Je na baada ya hapo ukaendelea kumla kwa ghadhabu?
 
Hata kama ni chai.
Ila wanaume mnatuumiza sana hisia
Tatizo sio pesa hata wanawake wanazitafuta,tatizo majeruhi mnayotuachia baada ya usaliti.
 
Mamaalitumia fursa safi sana ila m yasinikute walahi tutaitaukoo wote nitahamisha magoli
 
So mamdogo akachagua laki saba faini? alikuwa na kazi nazo hizo usikute na yeye alimpelekea jamaa yake, kwanini asingemuhukumu kifungo cha nje mume wake mpendwa yaishe?
 
Hiki kisa kilitokea muda kidogo. Nakumbuka nilitoka mkoani kuja kusoma tuition dar, nilifikia kwa baba mdogo.

Siku moja najiandaa kurudi shule mkoani nikaenda kariakoo kununua vitu mbali mbali vya shule, kurudi home nikagonga get akaja baba mdogo kunifungulia .

Bahati mbaya mimi sikufunga na kufuli ila nilirudisha get tu.

Baada ya muda akaja mama mdogo, kuingia tu chumbani nikasikia kimeumana, makelele ya ugomvi.

Kidogo nikasikia house girl anapigwa. Nikatoka kusuruhisha ndo nikajua ni nini chanzo. Kumbe amemfumania live chumbani kwao wakiwa wanaburudika kwenye sita kwa sita.

Hapo tayari mume wake amekimbia msala ko hasira ziliishia kwa house girl, siku hiyo hiyo alifurushwa kurudi kwao.

Kwesho yake mume alirudi home sijui waliongea nini kupitia simu. Mimi nikaitwa kuwa kama shahidi tu.

Mwanamke alitoa mashariti mawili :

1. Awambie tukio hilo wazazi wa pande mbili walisuluhishe.

2. Alipwe fidia ya laki saba na kukiri kuwa hata rudia tena. (kipindi hicho laki saba ilikuwa kubwa kiasi, maana wakati dollar ya Marekani ilikuwa kama mia tisa na kitu kwa pesa yetu)

Baba mdogo bila kupepesa mocho akakubali kutoa pesa. Akatoa laki mbili na nusu hapo hapo na kuhahidi zingine watamalizia taratibu kwa kipindi fulani ila sikumbuki limit ilikuwa miezi mingapi na mambo yakaisha kabisa.

Nimeandika kisa hiki baada ya leo baba mdogo kunukimbusha lile tukio maana kwa saivi tunataniana sana kwa kuwa saivi na mimi nimekuwa mtu mzima ko tupo kama kaka na mdogo.

Mpaka saivi wapo pamoja na kama aliota huyu mama, kuwa mume wake atakuwa na mpunga na nyadhifa kubwa na wangeachana angekuwa anamuona tu kwenye TV.
Angalau wslilimaliza kiutu uzima hapo kwa maumivu ya mfuko was baba yako mdogo!
Siku hukawii kusikia MTU amechomwa na kitu chenye ncha Kali wakati anakoroma ili kulipiza kisasi!!
 
Back
Top Bottom