mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 240
- 190
Jamani inategemea taulo lilikuwa na rangi gani mengine yanafanana na madekio tuuu. Ukizingatia ni bachela
Dah!!Ni jipya lakini ni la mtumba
😂😂😂😂Sasa unataka msaada wa nini hapa tena unasema wa haraka kama unahitaji ambulance vile!
Pumbavu zako! Nunua lingine kwani bei gani? Aaarrrgghhhh
Wanawake ni kweli hampendani aiseeHakufai, ameonesha dharau kubwa sana kudekia taulo la mume mtarajiwa.
Huwezi jua siku nyingine atadekia kitu gani tena muache haraka.
Nasemaje aachwe kaonesha dharauWanawake ni kweli hampendani aisee
Sasa usikute hilo taulo ni kama la kwangu tangu mwaka 2013 bado lipo
Nunua jingine tu
Nop mtoa mada anayumba sehemuNasemaje aachwe kaonesha dharau
Mambo ya humu usiyachukulie serious kiivyo, hapa ni kijiweni tu....Nop mtoa mada anayumba sehemu
Hujaona???
NafahamuMambo ya humu usiyachukulie serious kiivyo, hapa ni kijiweni tu....
Utakuta mtoa mada hata taulo hana akitoka bafuni anajikausha na shati lake
Anavyo vingi sana ikiwemo na uchoyo