dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 615
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,
Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,
Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?