Ametumia taulo langu kama dekio. Je, anafaa kuwa mke kweli?

Mada imefungwa. Mleta mada nunua taulo lingine kama unahisi kakuonea kudekia hilo taulo. Upload picha ya taulo labda tunaweza kutetea. Wife material hawapendi uchafu.
 
Mpaka sasa asilimia 99% ya wananzengo wanakutaka ununue taulo jipya na eti uache kutumia tambara linalostahili kuwa dekio kama taulo.

Kama na boxers nazo zimechoka kama hilo taulo basi usije kukuta nazo kazitupa ukaja tena kuanzisha uzi mwingine. Yawezekana binti ni mtoto wa kishua au anataka ubadilike. Muunge mkono !!!
 
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,

Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,

Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?

Sasa kama Taulo linafanana na dekio, yeye ana kosa gan?,
Kuna mataulo yanakaa mwaka hayafuliwi,
Ukilisimamisha linasimama kabisa
 
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,

Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,

Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?
Wewe pumbafu sana, nilifikiri kapigwa fimbo...kumbe kafanya usafi!
 
Doh mzee issue ndogo sana hio, mpaka unaleta huku kwa jukwaa.
Utakuwa una vielement vya dada zako,
NA muda wa kuoa bado hujafika asee
 
Anajua kujiongeza.

Je ange dekia shati au T-shirt ungeli semaje.
Taulo lenyewe la buku tu, HALINA TOFAUTI NA DEKIO.

MIMI NILDHANI UTAKUTA MTU ANA MGEGENDA NDANI KWAKO,
hapo ndipo tunge kishauri.....
 
Brother haina haja ya kuja huku kufata ushauri, mambo mengine madogo kama hayo maliza mwenyewe.
Naamini kimtazamo taulo lenyewe linaonekana limechoka, nunua jingine.
 
Kwanza poleni na msiba huu mzito uliotupata watanzania,

Nije kwenye maada husika, ni hivi nna mchumba wangu ambaye kama Mungu akipenda ilikua awe mke, Ila kwa hili tukio la leo kwakweli nahisi kanikatisha tamaa sana,

Leo kaja geto, mi sikuepo hom, kanipigia cm akiniuliza dekio ili adeki geto, nikajisemea mke si ndo huyuu sasa,mi nikamwambia aangalie vizuri lipo, sasa narudi nakuta kachukua taulo langu ndo kadekia, kumuuliza anasema hakuliona dekio, wana jamii forum hamjawah kuniangusha, je? Pana mke hapa kweli?

Duh

Taulo tu unawaza kuacha mchumba makubwa?

Huenda kaliona halifai pia, kawaza atakuletea lingine.
 
Hakufai, ameonesha dharau kubwa sana kudekia taulo la mume mtarajiwa.
Huwezi jua siku nyingine atadekia kitu gani tena muache haraka.
 
Sasa Kama Taulo lako lipo Kam dekeo kwann asidekei ili wew utafute Taulo aseee
 
Back
Top Bottom