Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,190
Hao si ndio matapeli wenyewe? Huwapa wastaafu vi semina uchwara na kukwapua pesa zao.Hivi unajua maana ya financial adviser? Nj msomi aliebobea huko na sio sisi ambao tutaongea tu hatuna facts wala kujua uhalisia wa hali ya soko. Aende huko ata km itamgharimu 1-2million wamshauri jinsi ya kuwekeza salama kiinua mgongo chake!! Umenielewa?
Financial adviser ana kua advise nini huku yeye mwenyewe hana hela ?
Bora ungeniambia atafute mentor ambaye ana fanya tayari hayo mambo.
Kuna mwalimu walimuuzis junis mojs ka tangawizi sh. Laki 8 wakimuahidi watakuja kununu kilo kwa 5000, baada ya tabgaeixi kukomaa hskuwahi waona hao jamaa.
Ndugu asishawishike kisa mtu ana makaratasi utapigwa vibaya.
Suku hizi wasomi ndio wezi tena unajipeleka mwenyewe.