Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

Mie Mama yangu alistafu mwaka Juzi alipata 92.5 M tupo watoto 4 moja mwanafunzi nikamwambia Mama tukopeshe hizo pesa sisi 3 tufanye tufanyie biashara tuondokane na umasikini,kilichotokea hakuna hata moja aliyopewa hata shilingi 100.
Leo hii kila siku ananiomba hela ya kula!
Kuwakopa yote ni ngumu 😅😅😅 ila 20M ningewagaia mpambane
 
Bank savings account atapata riba ya 8% law mwaka ni si zaidi ya hapo ambayo kwa mwaka atalipwa 6.4m sawa na 535ktsh. Option nzuri anunue government securities ambayo ataweza pata hadi 15.9... %kwa mwaka netting twice as much yani 12.72m kwa mwaka sawa na 1.06mtsh kwa mwezi na wanakupa every six month baada ya uwekezaji. Tembelea tawi la stockbroker yoyte posta uweze saidiwa
Hii hatifungani ni option nzuri zaidi kama una around 100M unapiga life zuri tu
 
Vodacom juzi kati walitangaza hawatatoa gawio la faida kwa maana wamepata hasara. Sasa hizo fixed bank deposits na hati fungani haziwezi kuja kusema maneno kama hayo?
Serikali inakusanya mabilioni kila siku bandarini, manispaa, kodi na kadhalika inashindwaje kukulipa wewe million 1 kila mwezi?
 
Achukue milioni 3 tu awekeze kwenye kilimo cha tikiti. Kila baada ya siku 75 anavuna. Net profit sio chini ya milioni 8 akilima eka 3 (za kuhenyeka hasa)

Faida yake ni kubwa sana akijitoa
Ushauri wa kipuuzi toka thread ianzishwe
 
UPO VIZURI SANA WENYE ASSETS NDIO MATAJIRI,AND NOT HARD CASH,
kuwapa watoto hela sometimes its bad,BAADHI watafavya vyema baadhi wataziharibu na kuonja utamu wa fedha,hao waliofanya vibaya na hela wataanza maombi mabaya, (**bora afe, afii tuuu... and so so...).
Kuna ambaye namuona kashanunua iphone macho matatu tayari😂😂😂 na anabadili viwalo tu
 
Kwa jinsi anavyo onekana yupo stable kimaisha nilitamani kusikia ametoa/atatoa shs 10M kwa ajili ya kusaidia watoto yatima ili aweke akiba ya MBINGUNI au pengine kubusti ndugu masikini.

Mwambia anunue bonds za bank kuu kwani security yake ni ya hali ya juu ila kabla ya hapo tunamshauri atenge fungu la kusaidia kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kumpa kazi na kumlinda hadi kumstaafisha akiwa salama
Mbingu ipi?
 
Asset sio lazima nyumba. Wabongo mnafeli sana na kuwekeza kwenye ujenzi bila ya taaluma ya real estate. FYI watu wanasomea iyo taaluma miaka mitatu ndo wanakupa na ujuzi wa kufanya maamuzi sahihi na sio kukurupuka na kujenga tu. Kuna financial asset na kuna sehem ambazo mstaafu anatakiwa awekeze especially baada ya kustaafu mana alishachelewa kuwekeza.

So anahitajistability na sio kurudi kazini tena kuanza shuhulikia nyumba na biashara. Awekeze kidogo kwenye financial assets na zengine aangalie JATU wana program nzuri na kwa yy atatumia 5million tu na atakuwa safe. Some 5m nyengine awekeze kwenye kilimo cha vanilla kwa kumwona vanilla international limited wamsaidie. Na 70million zilizo salia akanunue BONDS. au tafuta financial consultancy agency wakamshauri vizuri.

Atatumia 1-2million ila ushauri watakaompa utamuokolea mda na hasara . These agency ni muhimu na sio kukurupuka na kuja JF ushauriwe. Maybe sio mbaya coz ndo unapata ushauri wa kwenda financial consultancy agency na sio eti humu JF wakushauri uwekeze wap hela yako yote unayotegemea.
Hao Vanilla international ni swala la Muda tu hata Mr.Kuku alikuja na mbwembwe zote za kujitia ana bima ya kuzuia hasara kwa muwekezaji toka AAR akawaokota maboya wake!
 
Hio vanila si ndio watu wanapigwa.Kilo elf 20 wao wanadai kilo sh laki 5.Wadau humu wamesema hii vanila unachavusha mwenyewe, sasa huyo mstaafu aanze kuvizia chavua badala ya kupumzika.
We umepanda hio vanila utoe ushuhuda.
Vanila Int. ni Mr.Kuku iliochangamka, ni swala la muda kabla ya mvua za nyuzi za Vilio humu 😅😅😅 in the same manner as Mr.Ontario the CON GameGenius (CGG)
 
Kanunue bond Bot ndio suluhisho kuu.. Inalipa zaidi.
Kwa bonds za serikali ndio penyewe mfano kwa mtu kama Mwana FA au AY waliopiga 2B unaweza weka moja ikakaa kule ikawa inakupa 15% ya hela kila miezi 6! Ukawa unakunja 150M kila miezi 6 huku biashara zingine zinaendelea tu. Hapa umaskini utausikia kwa majirani tu

Ndio maana wenzetu ulaya ni matajiri tu sababu wana good financial plans!
 
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.

Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.

Msaada please.
Habari ya asubuhi, naomba tuwasiliane
 
Kumbe unajua maisha hayako guarantee na ndiyo maana amewka akiba yake, sasa wewe unataka atapanye acha hizi, pambana na hali yako.
Acha izo mentality mzee maisha ni hapa hapa nothing is guaranteed, unashangaa familia nyingi baada ya wazee kufariki vijana ndio wanaanza kuishi kwa furaha mjini ni kutokana na izo mambo. What am saying is kama kuna wakusaidia wafanya ivo hamna haja yakuzifungia wakati yeye mwenye umri wake uko kwenye danger zone tayari kuna aja gani yakufanya ivo kweli maana uwezekano mkubwa ata yeye mwenyewe anaweza asizitumie si bora asaidie where possible.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.

Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.

Msaada please.
Mimi Nina wazo, but mtaji sina, tunaweza ingia makubariano na kunikopesha kiasi cha 2M,hyo pesa yako ukawekeza kwenye wazo langu, na nikawa nakurejeshea pesa yako kwa riba ya asilimia 100%, kama uko tayali naomba tuwasiliane 0622939257, 0717447020, sio ww tu hata kama kuna MTU anahitaji kuingia ubia na mm basi namkaribisha tuyajenge, Niko DSM temeke mtoni kwa azizi Ali
Nb;ukinipa hyo 2M nitakurejeshea 4M kwa muda tutakaokubaliana kufanya hayo marejesho.pia hii njia anaweza itumia kwa mtu yoyote yule muaminifu na ikawa inamzalishia pesa zaidi huku akiwa amestarehe tu.Asante
 
Unauzaga ufuta?
 
Back
Top Bottom