Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,176
2,000
Asset sio lazima nyumba. Wabongo mnafeli sana na kuwekeza kwenye ujenzi bila ya taaluma ya real estate. FYI watu wanasomea iyo taaluma miaka mitatu ndo wanakupa na ujuzi wa kufanya maamuzi sahihi na sio kukurupuka na kujenga tu. Kuna financial asset na kuna sehem ambazo mstaafu anatakiwa awekeze especially baada ya kustaafu mana alishachelewa kuwekeza.
OK!, I CATCH YOU, NI KWELI NYUMBA SIO KILA WAKATI HUPANDA BEI,MFANO SASA HIVI ZIMEANGUKA BEI,

::KUNA UJENZI WA BANDA LA KUISHI.
::KUNA UJENZI WA JENGO LA KIBIASHARA,BANDA LA BIASHARA NI LAZIMA LIWE INVESTED KATIKA ENEO LA KIBIASHARA.
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,753
2,000
Kuna kitu inaitwa forex, kwa mtaji wa milioni themanini kutengeneza laki tano kwa siku ni kama unamsukuma mlevi🤣🤸🐒

On a serious note akae mbali na biashara za mtandao
Weee usiwafanye wenzo wakaweka msiba bila kutarajia ...:oops::oops:🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,762
2,000
Hivi unajua maana ya financial adviser? Nj msomi aliebobea huko na sio sisi ambao tutaongea tu hatuna facts wala kujua uhalisia wa hali ya soko. Aende huko ata km itamgharimu 1-2million wamshauri jinsi ya kuwekeza salama kiinua mgongo chake!! Umenielewa?
Hao si ndio matapeli wenyewe? Huwapa wastaafu vi semina uchwara na kukwapua pesa zao.
Financial adviser ana kua advise nini huku yeye mwenyewe hana hela ?

Bora ungeniambia atafute mentor ambaye ana fanya tayari hayo mambo.
Kuna mwalimu walimuuzis junis mojs ka tangawizi sh. Laki 8 wakimuahidi watakuja kununu kilo kwa 5000, baada ya tabgaeixi kukomaa hskuwahi waona hao jamaa.

Ndugu asishawishike kisa mtu ana makaratasi utapigwa vibaya.
Suku hizi wasomi ndio wezi tena unajipeleka mwenyewe.
 
Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
349
1,000
Mimi nimeelewa kitu kimoja. Huyo mama hawezi kuthibiti matumizi yake hivyo anataka kuweka pesa sehemu kisha apewe 700,000 taratibu mpaka siku ikiisha yote.
Wewe ndio umeelewa Sawa na Mie, bimkubwa hataki hayo mambo ya interest rate, ye anataka aendelee Kula mshahara kama kawaida ispokuwa safari hii utakuwa sio kutoka serikali tukufu
 
Flight_controller

Senior Member
Dec 4, 2018
129
250
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.

Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.

Msaada please

Msaada please.
Awekeze kwenye treasury bonds za BoT au aweke kwenye fixed deposit account apate faida, mfano TPB wanatoa interest ya 11% kwa amount inayozidi 5M na unachagua ulipwe monthly au yearly. Kwa CRDB interest rate ni ndogo...benki nyingine sijuii
 
pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,084

Treasury bonds za miaka 20 (interest 15.49%) au za miaka 25 (interest 15.95%) ndio mwafaka kwa mahitaji yaliyoelezwa.
 
KingOligarchy

Member
Sep 28, 2013
51
125
Deni la ndani la serikali:
Ili kuendeza shughuli zake serikali huwa inachukua mkopo kutoka taasisi za ndani pamoja na kutoka kwa wananchi. moja ya mfumo unaotumika ni kutoa Hatifungani kwa kiingereza tunaiita Government BOND/ Treasury Bond

Mara nyingi nikikaa na wastaafu huwaandalia njia amabzo wanatumia kuwekeza hela zao bila kuanza kuhangaika na biashara ambazo hawajawahi fanya maishani mwao

Hatifungani (mkopo kwa serikali) Hutolewa na Benki kuu ya Tanzania na huiva ndani ya kipindi cha miaka 2,5,7,10,15,20 na 25.
Mnunuzi wa Hatifungani hizi hulipwa riba (coupon) iliyopangwa kila baada ya miezi 6, nikimaanisha riba hulipwa mara mbili kwa mwaka

Kiwango cha chini cha uwekezaji katika hatifungani za muda mrefu ni shilingi 1,000,000 (Shilingi milioni moja) katika mafungu ya shilingi 100,000.
Ununuzi kupitia Benki kuu ya Tanzania (soko la awali) hufanyika kwa njia ya mnada, ambapo wawekezaji watataja bei watakayotaka kununua dhamana (pitia kwa madalali watakusaidia kwenye hili)

Soko la pili: Pia unaweza kununua Hatifungani kupitia Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

Tuangalie Hatifungani, pamoja na ratiba yake ambapo hutoka kila mwaka wa fedha
Mfano: Ratiba ya zamani ambayo haijumuishi bond ya miaka 25

Auction Date

Bond Tenure

Coupon Rate

01-Jul-2010 YEARS11.44%
15-Jul-2015 YEARS13.50%
29-Jul-2020 YEARS15.49%
12-Aug-202 YEARS7.82%
26-Aug-2010 YEARS11.44%
09-Sep-2015YEARS13.50%
23-Sep-2020 YEARS15.49%
07-Oct-205 YEARS9.18%
21-Oct-207 YEARS10.08%
04-Nov-2020 YEARS15.49%
18-Nov-2010 YEARS11.44%
02-Dec-2015 YEARS13.50%
16-Dec-2020 YEARS15.49%
30-Dec-2010 YEARS11.44%
13-Jan-212 YEARS7.82%
27-Jan-2115 YEARS13.50%
10-Feb-2120 YEARS15.49%
24-Feb-2115 YEARS13.50%
10-Mar-212 YEARS7.82%
24-Mar-2110 YEARS11.44%
07-Apr-2115 YEARS13.50%
21-Apr-2120 YEARS15.49%
05-May-217 YEARS10.08%
19-May-2120 YEARS15.49%
02-Jun-2115 YEARS13.50%
16-Jun-215 YEARS9.18%

NB: unaponunua Hatifungani ya miaka 25 au 20 haimaanishi lazima ukae nayo miaja 20, unaweza ukakaa nayo kwa miezi 6 tu ukamuuzia mtu mwigine

Twende kwenye issue ya mama

Mama ana hela TSH 80,000,000
Bond mpya serikali iliyotoa ni ya miaka 25 yenye coupon ya 15.95% kwa mwaka hvyo basi

0.1595 x 80,000,000 = 12,760,000.00 kwa mwaka
atalipwa 2 times kwa mwaka maana yake kila baada ya miezi 6 atalipwa 12,760,000/2 = 6,380,000.oo
so thamani ambayo kwa mwezi atakayoingiza ni roughly kama 1 M
Endapo asipoiuza maana yake atakaa nayo kwa miaka 25 bila kufanya kazi yoyote atalipwa tu KUMBUKA: MALIPO NI KILAA BAADA YA MIEZI 6 NA SIO KILA MWEZI

Kuna njia pia ya kupata hela kupitia Mnada wa awali ambapo muwekezaji anaweza kununua hatifungani kwa bei pungufu lakini ikija kuuza atauza kwa bei ya juu (Hapa ananunua kutoka BOT anakuja kuiuza kwenye soko la hisa la Dar es salaam)

Jinsi ya kufanya ! wasiliana na madalali watakusaidia

Hatifungani za Muda Mrefu na za Muda Mfupi zina faida zifuatazo:
 • Ni njia salama na rahisi ya umilikaji wa dhamana hizi ukilinganisha na mfumo wa umiliki kwa kutumia hati.
 • Zinaweza kubadilishwa umiliki.
 • Zinaweza kutumika kama dhamana.
 • Kipato chake ni kizuri.
 
Kisoda James

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,114

Somo zuri sana hili mkuu. Hongera. Sasa vp kama muda wa kulipa ukifika (kila baada ya miezi 6) na serikali ikasema kwa sasa haina pesa. Inakuwaje hapa?
 
Serikali Haiwezi kuishiwa hela hata siku moja kwasababu serikali inatengeneza pesa zake, lakini pia inaendelea kukopa kila siku kucover cost zake, tunasema hatifungani ni risk free asset, lakini kama inavyojulikana hakuna asset ambayo haina risk , so utapata risk endapo serikali itaingi kwenye majanga makubwa kama vita na mfumo wa kibenki kuanguka (Very rare sanaaaaaA) , chance za serikali kudefault ni ndogooooooooooooo sanaaaaaaaaaaa.

Nimeona umeandika 6 month! hakuna hatifungani ya 6 month! ila baada ya miezi 6 utamuuzia mtu mwingiine hati fungani hyo hyo! umiliki wako utahama kutoka kwako kwenda kwake . Mnunuzi mpya atakaa na hyo hatifungani mpaka itakapomature
 
Miezi sita ni nini kama sio riba mkuu?
 
KingOligarchy

Member
Sep 28, 2013
51
125
Miezi sita ni nini kama sio riba mkuu?
Namanisha hivi,

1. Hatifungani zinatoa riba kila mwaka, riba hii hulipwa mara mbili (kila baada ya miezi 6)
2. Hatifungani unaweza ukaiuza ukikaa nayo hata baada ya miezi 6 tu! Hapa namaanisha mfano umenunua hatifungani ya miaka 25 , ukishakaa nayo muda wowote unaweza ukamuuzia mtu mwingine, mtu anayenunua ndo atakuwa mwenye haki ya kupata riba zake zote zilizobaki
Mfano: mimi nimenunua hatifungani ya miaka 20 yenye coupon ya 15.49% kwa mwaka , nikikaa nayo naweza nkauza ndani ya mwezi mmoja tu baada ya kununua! kwa hyo sitopata riba yoyote, nikiuza baada ya miezi 6 ntapata 15.49%/2 = 7.75%!
 
Poa mzee baba
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,265
2,000
Inawezekana.Nenda,NCBA/Equity nafikiri wanarate nzuri.Ila ni vizuri ukaenda benki kadhaa ucheck rate zao Fixed ambazo zina range kati ya 4% hadi 11%
 
Nizhneserginsky

Senior Member
Mar 9, 2017
196
500
Deni la ndani la serikali:
Ili kuendeza shughuli zake serikali huwa inachukua mkopo kutoka taasisi za ndani pamoja na kutoka kwa wananchi. moja ya mfumo unaotumika ni kutoa Hatifungani kwa kiingereza tunaiita Government BOND/ Treasury Bond
Mara nyingi nikikaa na wastaafu huwaandalia njia amabzo wanatumia kuwekeza hela zao bila kuanza kuhangaika na biashara ambazo hawajawahi fanya maishani mwao

Hatifungani (mkopo kwa serikali) Hutolewa na Benki kuu ya Tanzania na huiva ndani ya kipindi cha miaka 2,5,7,10,15,20 na 25.
Mnunuzi wa Hatifungani hizi hulipwa riba (coupon) iliyopangwa kila baada ya miezi 6, nikimaanisha riba hulipwa mara mbili kwa mwaka

Kiwango cha chini cha uwekezaji katika hatifungani za muda mrefu ni shilingi 1,000,000 (Shilingi milioni moja) katika mafungu ya shilingi 100,000.
Ununuzi kupitia Benki kuu ya Tanzania (soko la awali) hufanyika kwa njia ya mnada, ambapo wawekezaji watataja bei watakayotaka kununua dhamana (pitia kwa madalali watakusaidia kwenye hili)

Soko la pili: Pia unaweza kununua Hatifungani kupitia Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

Tuangalie Hatifungani, pamoja na ratiba yake ambapo hutoka kila mwaka wa fedha
Mfano: Ratiba ya zamani ambayo haijumuishi bond ya miaka 25

Auction Date

Bond Tenure

Coupon Rate

01-Jul-2010 YEARS11.44%
15-Jul-2015 YEARS13.50%
29-Jul-2020 YEARS15.49%
12-Aug-202 YEARS7.82%
26-Aug-2010 YEARS11.44%
09-Sep-2015YEARS13.50%
23-Sep-2020 YEARS15.49%
07-Oct-205 YEARS9.18%
21-Oct-207 YEARS10.08%
04-Nov-2020 YEARS15.49%
18-Nov-2010 YEARS11.44%
02-Dec-2015 YEARS13.50%
16-Dec-2020 YEARS15.49%
30-Dec-2010 YEARS11.44%
13-Jan-212 YEARS7.82%
27-Jan-2115 YEARS13.50%
10-Feb-2120 YEARS15.49%
24-Feb-2115 YEARS13.50%
10-Mar-212 YEARS7.82%
24-Mar-2110 YEARS11.44%
07-Apr-2115 YEARS13.50%
21-Apr-2120 YEARS15.49%
05-May-217 YEARS10.08%
19-May-2120 YEARS15.49%
02-Jun-2115 YEARS13.50%
16-Jun-215 YEARS9.18%

NB: unaponunua Hatifungani ya miaka 25 au 20 haimaanishi lazima ukae nayo miaja 20, unaweza ukakaa nayo kwa miezi 6 tu ukamuuzia mtu mwigine

Twende kwenye issue ya mama

Mama ana hela TSH 80,000,000
Bond mpya serikali iliyotoa ni ya miaka 25 yenye coupon ya 15.95% kwa mwaka hvyo basi

0.1595 x 80,000,000 = 12,760,000.00 kwa mwaka
atalipwa 2 times kwa mwaka maana yake kila baada ya miezi 6 atalipwa 12,760,000/2 = 6,380,000.oo
so thamani ambayo kwa mwezi atakayoingiza ni roughly kama 1 M
Endapo asipoiuza maana yake atakaa nayo kwa miaka 25 bila kufanya kazi yoyote atalipwa tu KUMBUKA: MALIPO NI KILAA BAADA YA MIEZI 6 NA SIO KILA MWEZI

Kuna njia pia ya kupata hela kupitia Mnada wa awali ambapo muwekezaji anaweza kununua hatifungani kwa bei pungufu lakini ikija kuuza atauza kwa bei ya juu (Hapa ananunua kutoka BOT anakuja kuiuza kwenye soko la hisa la Dar es salaam)

Jinsi ya kufanya ! wasiliana na madalali watakusaidia

Hatifungani za Muda Mrefu na za Muda Mfupi zina faida zifuatazo:
 • Ni njia salama na rahisi ya umilikaji wa dhamana hizi ukilinganisha na mfumo wa umiliki kwa kutumia hati.
 • Zinaweza kubadilishwa umiliki.
 • Zinaweza kutumika kama dhamana.
 • Kipato chake ni kizuri.
ikitokea mmiliki akapoteza maisha,ummiliki unakuwa vipi?
 
Asante Mkuu kwa ufafanuzi.

Mimi ni mstaafu ambaye miaka michache iliyopita niliweka pesa katika treasury bond za miaka 20. Nilinunua kwa batch 2, kidogo katika soko la upili na nyingi zaidi kwenye mnada wa BOT. Kupitia CRDB.
Sijawahi kucheleweshewa malipo. Kila batch, kila miezi 6.

Lengo la kutoa ushuhuda huu ni kuwaondoa watu wasiwasi kuhusu bond za serikali. Ni njia nzuri kabisa kwa wastaafu na wengine kuweka hela na kula taratibu kwa muda mrefu.
 
Mbulukenge

Member
Jun 26, 2019
91
150
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.

Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.

Msaada please.
Aende Jubilee Insurance wana aina ya hio scheme.
 
ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,907
2,000
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.

Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.

Msaada please.
Mshauri ajiunge na makanisa ya kilokole halafu amwambie mchungaji kwamba kuna 80m mahali,...
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,762
2,000
Asante Mkuu kwa ufafanuzi.

Mimi ni mstaafu ambaye miaka michache iliyopita niliweka pesa katika treasury bond za miaka 20. Nilinunua kwa batch 2, kidogo katika soko la upili na nyingi zaidi kwenye mnada wa BOT. Kupitia CRDB.
Sijawahi kucheleweshewa malipo. Kila batch, kila miezi 6.

Lengo la kutoa ushuhuda huu ni kuwaondoa watu wasiwasi kuhusu bond za serikali. Ni njia nzuri kabisa kwa wastaafu na wengine kuweka hela na kula taratibu kwa muda mrefu.
Umestaafu halafu unaweka kiinua mgongo unaiweka kwenye kibubu cha serikali uje uvune baada ya miaka 20-25 ili uje uitumie kufanyia nini?
Au umewawekea urithi watoto wako. Mzee wa miaka 80 anaweza kula nyama?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom