Amesoma kombi ya HGE, kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university?

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,309
1,423
Hamjambo wana JamiiForum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha.

Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
 
Hamjambo wanajamii forum? Naombeni mnijuze,mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha,amesoma kombi ya HGE,hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? natanguliza shukurani kwenu.
Anaweza kusoma course nyingi tu.

Mfano: BA Economics. Agribusiness and agro economics. Course zote za accounting and finance. Marketing na baadhi ya course za Land mfano Land management and valuation. Urban planning n.k. na course zote za kijamii kama PSPA, Sociology, Community development etc.
 
Hamjambo wanajamii forum? Naombeni mnijuze,mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha,amesoma kombi ya HGE,hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? natanguliza shukurani kwenu.
Asee kama mtu mpaka unamaliza form six haujui unataka kusomea nini ni tatizo kubwa sana. Any way, chuo tunasoma kitu unachokipenda sijui wewe unapenda nini af tukushauri.
 
Program ni nyingi lakini inategemea ufaulu,mfano program za ardhi university(building economics,land management and valuation ukiwa na div 2 si rahisi kupata.Baada ya matokeo aangalie guide book ya TCU na achague program apendayo itakayompa fursa ya kujiajiri asitegemee ajira ya serikalini.
 
Hamjambo wanajamii Forum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha.

Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
Agricultural economics and agribusiness...ni nzuri mno
 
mwambie ande tu veta asipoteze muda chuo kikuu. kazi hamna na degree za sasa tumepigwa tu bora tuwarudishie degree zao.
maisha bana nikichekesho ukimaliza six ukafaulu unasifiwa kasome dogo ukimaliza chuo walewale wanasema dogo mvivu huyu upo tu anashidwa hata saidia fundi.
ushauri bora ukasome ufundi nyumba miezi 6 ukimaliza uwe saidia fundi hadi hyo miaka mitatu inaisha umekua fundi unawaajiri mwenyw degree wawe saidia fundi.
kusoma ni passion yakujifunza nakujua vitu na mabadiliko ya mazingira katika maisha sio tena investment kwaajili ya return tena.
if u fail to plan u plan to fail.
take time mwanzoni uepuke ningejua mwishoni.
kila kitu ni risk prepar to take the risk.
tuache kifuata mkumbo kwa sasa.
 
Education is the best! Akimaliza ajira zipo zinacheka! Huko kwingine atazunguka na cheti hadi anakitupa!
 
hahahaha uko hadi raisi aseme, jiulize kwa ss walivyo toa kibali chakuajiri utasubir hadi lini tena. bora hata uhasibu wanaitajika hadi kanisani au mashuleni.
 
mwambie ande tu veta asipoteze muda chuo kikuu. kazi hamna na degree za sasa tumepigwa tu bora tuwarudishie degree zao.
maisha bana nikichekesho ukimaliza six ukafaulu unasifiwa kasome dogo ukimaliza chuo walewale wanasema dogo mvivu huyu upo tu anashidwa hata saidia fundi.
ushauri bora ukasome ufundi nyumba miezi 6 ukimaliza uwe saidia fundi hadi hyo miaka mitatu inaisha umekua fundi unawaajiri mwenyw degree wawe saidia fundi.
kusoma ni passion yakujifunza nakujua vitu na mabadiliko ya mazingira katika maisha sio tena investment kwaajili ya return tena.
if u fail to plan u plan to fail.
take time mwanzoni uepuke ningejua mwishoni.
kila kitu ni risk prepar to take the risk.
tuache kifuata mkumbo kwa sasa.
coolboyjsen, mwache mzazi atimize ndoto zake kwa mwanaye tafadhali , kuna fahari kuona mtoto amekua msomi . Huwezi jua anaconnection gani ndo mana kauliza , huwezi jua hata huyo kijana wetu akaja kua hata mbunge ...mpe guidance ktk lile anataka.
 
kweli kabisa uzur wa ushauri ni kusikiliza vingi ili uwe na lako zuri ambalo utakua nalo na kulifanikisha pia.

tumezoea ushauri mzuri tu.
ila ukipata ushaur wenye advantage na disadvantage ni vzur sn.
na kama ana connection ni bora awaulize ili wamshauri qualification wataziitaji ili iwe raisi kuconnet.
pia tunashauri tu hatuja mwambia akafanye naelewa tunakulia makuzi tofauti wazazi tofauti sehemu tofauti kwenye ushauri kila mtu atatoa experience yake ndio maana amekuja hapa kuchukua experience ya wengi kwahy ushaur wangu ulikuwa si conclusion

nashukur pia ata mm natamani mwanangu awe na masterz ila naona mazingira ya siku hizi haya value elimu sijue kwanini na kuonekana kama unajitenga hv.
imani yangu wazazi wanajukumu kubwa sna kwa watoto tofauti na kuwasomesha tu kuwa shika mkono na kuwaonyesha njia na kuto kuwakatia tamaa watoto
kuna usaliti wawazazi anakwambia nilikusomesha nimemaliza nasomesha wadogo zako kwa ss wakati kozi alikuchangulia yeye.
 
Back
Top Bottom