Amesoma HGK ni Kozi gani nzuri at least ambayo itanifaa hapo mbeleni

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
713
1,181
Napenda kutanguliza salamu kwa wanajukwaa,

Kuna ndugu yangu amemaliza mwaka huu kidato cha sita ni msichana alisoma HGK, amenifata na kuomba ushauri ni kozi gani ambayo atleast itamfaa hapo baadae,

Ni kweli inajulikana kwamba sasaivi kwenye upande wa ajira ni mtihani kidogo hata watu wa sayansi nao wanaelewa hili ndio maana nimeamua kuwaletea humu wanajukwaa kidogo mchangie.

Fanya kama huyu ndo mdogo wako wewe ungemshauri akasome nini baadae.

Wako mtiifu katika ujenzi wa taifa, mwanakulipata.
 
Sheria, kozi za chuo cha ubaharia (DMI), kozi zinazohusiana jiografia (sayansi ya mazingira, demografia, natural resources management au apekue zinazohusiana na ardhi)
 
- Kwa level uliyofikia maamuzi yeyote utakayofanya ni yako na yatakua na impact katika maisha yako mwenyewe. Hakuna mtu anayeweza kukueleza kilicho sahihi kwako zaidi ya wewe mwenyewe.

- Choose wisely.
 
Napenda kutanguliza salamu kwa wanajukwaa,

Kuna ndugu yangu amemaliza mwaka huu kidato cha sita ni msichana alisoma HGK, amenifata na kuomba ushauri ni kozi gani ambayo atleast itamfaa hapo baadae,

Ni kweli inajulikana kwamba sasaivi kwenye upande wa ajira ni mtihani kidogo hata watu wa sayansi nao wanaelewa hili ndio maana nimeamua kuwaletea humu wanajukwaa kidogo mchangie.

Fanya kama huyu ndo mdogo wako wewe ungemshauri akasome nini baadae.

Wako mtiifu katika ujenzi wa taifa, mwanakulipata.
Kama ana ufaulu mzuri mwambie akasome Law. Akimaliza aende law school.

NB: Asije akajiloga akasoma education kwenye hii tanzania ya viwonder.
 
Kasome tu sheria uje kujiajiri na mhuri wako kitaa unakula pesa hadi bhasi. Or ualimu

Sijui agriculture, madudu mengi utaishia kutunza vyeti kwenye begi kama kumbukumbu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom