Ameshaanza kuunga mkono juhudi na kukiri kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama Ulaya

Baba wa matumizi mabaya ya ruzuku, michango ya wabunge, mdhalilisha wanawake viti maalum kwa kulala nao ili awape nafasi, mnywaji mzuri wa faru John mpaka kuvunja mguu ndio mwenye characters hizo ulizoainisha hapo. Chadema saccos, chama cha mfukoni kwa Mbowe ndio kwisha kabisa. Nani mtanzania mjinga achague utopolo?. Kibaraka wa beberu, kipigo kipo palepale.
Wana roho ngumu sana hao jamaa kuwa watetezi wa mpigaji wa hai.
 
Back
Top Bottom