Ameshaanza kuunga mkono juhudi na kukiri kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama Ulaya

Naona wengi wenu bado hamumuelewi lissu kwasababu akili zenu zipo lumumba. Hivi ni wapi lissu amesahi cmama akapinga maendeleo? Lissu anakemea kitendo cha kujar maendeleo ya vitu ambayo yanawaumiza wananchi. Mbona mpaka leo hamjibu ishu ya uwanja sa Chato
 
Ila ile ziara ya miguu ukimwangalia Lisu alikuwa kama frustrated Fulani hivi hakutarajia ile cold reception aliyopata toka kwa wananchi eneo lenye watu wengi kama kariakoo

Alienda kariakoo akitegemea labda shughuli zingesimama ingekuwa patashika nguo kuchanika lakini watu wala hawakumshobokea wala kuonyesha kuwa yeye no special Fulani walimchukulia kawaida tu

Halafu alipita pale karibu na kituo cha polisi msimbazi makusudi akitarajia labda kuna polisi wata mind waka mshit alitaka akatafutie umaarufu wa ghafla kariakoo kwenye watu wengi single imebuma

Ndio maaa hata ukiangalia alipohojiwa body language inaonyesha wazi kapanick kafrustrate kuwa I didn't expect to be treated so low kwenye eneo la watu wengi kama hili la kariokoo

Alitegemea kupata grand reception ndio maana aka target kariakoo

Kilichomkuta kimempa jibu la ategemee nini Oktoba 28

Ile ziara sio siri ime do more harm to him than benefit /Aliyemshauri aende kariakoo kamharibia kuanzia mood had I ego yake ndio maana hats ule ubabe babe wake wa kuongea uliyeyukia hewani

His ego from now will be so low

Heri angesikia ushauri wa kubaki ndani tu kipindi hiki cha kufungiwa na tume.Sasa katoka kaenda tu kuibua frustration

Ile confidence aliyokuwa nayo imekuwa shaken up .Kaanza kuwajua vizuri sasa watanzania walioko mtaani sio wale wa mikutanoni walivyo

Kawaona wa mitaani kuwa hawamuoni kama presidential material.

Lisu hao ndio wenyewe wapiga kura wa October 28 wa Dar es salaam
 
Uhuru ?

Tanganyika 1961 pioneers TANU, wewe unasema uhuru gani?

Haki - kwani Mahakama hazipo? Na ni haki unazizungumzia mbona wananchi haki zao zinazingatiwa?

Maendeleo- Muulize Lisu jana alikuwa picnic atakupa mrejesho na hiyo ni Dar tuu.

Sasa hivi unatoka Mtwara mpaka Bukoba mkeka tuu yaani unaweza kukodi hadi Taxi.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa iyo wewe ulivhofanyiwa Kabendera na Mama yake unaona uhuru na haki???

Walichofanyiwa Azory Gwanda, Mdude Nyangali, Tito magoti, Ben Saanane na waliouawa na kutupwa Coco beach kwenye viloba unaona ndo uhuru na haki???

Alichofanyiwa Tundu Antiphas Lissu kupigwa risasi 16 na nyie unaona uhuru na haki?

walichofanyiwa wafanyakazi wa serikali zaidi ya 10,000 kufukuzwa kazi kwa vyeti feki huku Paul Makonda akiachwa pamoja na kuwa na vyeti feki unaona uhuru na haki?

Walichofanyiwa wakazi wa kagera kukatazwa kuuza kahawa uganda kwa bei Nzuri na kulazimishwa kuuza amicos kwa bei ndogo hadi kuwa masikini unaona uhuru na haki?

Wanachofanyiwa wakulima wa mbaazi, korosho na tu mbali, kukatazwa kuuza mazao yao sehemu wanazotaka na kulazimishwa kuuza kwa stakabadhi ghalani huku hawalipwi kwa wakati unaona ndo Uhuru na haki??!

Walichofanyiwa wakulima wa mpunga kilombero na wa mananasi bagamoyo ya kuzuiwa kuuza mazao yao kwa wakenya jambo lililopelekea wamekuwa masikini we unaona ndo uhuru na haki?
 
Hata Ulaya kuna vijiji havipati kila kitu kama mjini....

Ila mijini ndio huwa na vyanzo vikuu vya uzalishaji na faida inapelekwa kutoa dawa na kujenga hospitali nchi nzima.

Vijiji vingi vya Tanzania havina uwezo wa kujenga zahanati ama barabara bora wala kulipa mishahara watoa huduma...

Ukiona watumishi na Zahanati na kudai dawa jua ni faida toka mijini

Viva Magu 2020 to 2030
Yapo dar pekee,vipi mikoani Wana kipi Cha kunufaika na Utawala huu
 
Ila ile ziara ya miguu ukimwangalia Lisu alikuwa kama frustrated Fulani hivi hakutarajia ile cold reception aliyopata toka kwa wananchi

Alienda kariakoo akitegemea labda shughuli zingesimama ingekuwa patashika nguo kuchanika lakini watu wala hawakumshobokea wala kuonyesha kuwa yeye no special Fulani walimchukulia kawaida tu

Halafu alipita pale karibu na kituo cha polisi msimbazi makusudi akitarajia labda kuna polisi wata mind waka mshit alitaka akatafutie umaarufu wa ghafla kariakoo kwenye watu wengi single imebuma

Ndio maaa hata ukiangalia alipohojiwa body language inaonyesha wazi kapanick kafrustrate kuwa I didn't expect to be treated so low kwenye eneo la watu wengi kama hili la kariokoo

Alitegemea kupata grand reception ndio maana aka target kariakoo

Kilichomkuta kimempa jibu la ategemee nini October 28

Ile ziara sio siri ime do more harm to him than benefit /Aliyemshauri aende kariakoo kamharibia kuanzia mood had I ego yake ndio maana hats ule ubabe babe wake wa kuongea uliyeyukia hewani

His ego from now will be so low

Heri angesikia ushauri wa kubaki ndani tu kipindi hiki cha kufungiwa na tume.Sasa katoka kaenda tu kuibua frustration

Ile confidence aliyokuwa nayo imekuwa shaken up .Kaanza kuwajua vizuri sasa watanzania walioko mtaani sio wale wa mikutanoni walivyo

Kawaona wa mitaani kuwa hawamuoni kama presidential material.

Lisu hao ndio wenyewe wapiga kura wa October 28 wa Dar es salaam
Hahahahaha endeleeni kuweweseka tu!! Jana watu waliacha biashara zao na wakawa wanamfuata Tundu Lissu na kuimba Raisi, Raisi???? Au umevaa miwani ya mbao hujaona??!
 
Kwani mwendo kasi zimejengwa kipindi cha Mzee meko?
Project ni idea ya Kikwete na kikwete ndiye aliyepeleka proposal world bank. Na Kuna Awamu Kama 4 kwenye hili jiji la Dar. Leo Eti wanasema ni mradi wa Magufuli vilaza hawa
 
Kwa iyo wewe ulivhofanyiwa Kabendera na Mama yake unaona uhuru na haki???

Walichofanyiwa Azory Gwanda, Mdude Nyangali, Tito magoti, Ben Saanane na walikuwa sema kutupwa Coco beach kwenye viloba unaona ndo uhuru na haki???

Alichofanyiwa Tundu Antiphas Lissu kupigwa risasi 16 na nyie unaona uhuru na haki???

walichofanyiwa wafanyakazi wa serikali zaidi ya 10,000 kufukuzwa kazi kwa vyeti feki huku Paul Makonda akiachwa pamoja na kuwa na vyeti feki unaona uhuru na haki???

Walichofanyiwa wakazi wa kagera kukatazwa kuuza kahawa uganda kwa bei Nzuri na kulazimishwa kuuza amicos kwa bei ndogo hadi kuwa masikini unaona uhuru na haki???

Wanachofanyiwa wakulima wa mbaazi, korosho na tu mbali, kukatazwa kuuza mazao yao sehemu wanazotaka na kulazimishwa kuuza kwa stakabadhi ghalani huku hawalipwi kwa wakati unaona ndo Uhuru na haki??!

Walichofanyiwa wakulima wa mpunga kilombero na wa mananasi bagamoyo ya kuzuiwa kuuza mazao yao kwa wakenya jambo lililopelekea wamekuwa masikini we unaona ndo uhuru na haki???
Kabendera kafanyiwaje kwani?

Na hilo kundi kubwa limefanyiwaje maana sijui?

Unaonekana unayafahamu mengi kama unaona Haki za watu zimevunjwa fanya kuwahi MAHAKAMANI Chaaap.

Humu JF sio Mahakama kama una ushahidi wa hayo nenda Mahakamani huko ndipo HAKI upatikana.

Usisahau kumpigia kura JPM October 28 sababu kura yako ni muhimu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hahahahaha endeleeni kuweweseka tu!! Jana watu waliacha biashara zao na wakawa wanamfuata Tundu Lissu na kuimba Raisi, Raisi???? Au umevaa miwani ya mbao hujaona??!
Lie ni kundi aliloliandaa la vijana wa kuhamasisha waliokuwa wakimsindikiza

Angalia anamopita response ya watu walio upande wa kushoto na kulia wako cold wapiga miyowe ni hicho kikundi kilicho nyuma yake tu cha wapambe .

The rest of the people wanamtizama tu
 
Kabendera kafanyiwaje kwani?

Na hilo kundi kubwa limefanyiwaje maana sijui?

Unaonekana unayafahamu mengi kama unaona Haki za watu zimevunjwa fanya kuwahi MAHAKAMANI Chaaap.

Humu JF sio Mahakama kama una ushahidi wa hayo nenda Mahakamani huko ndipo HAKI upatikana.

Usisahau kumpigia kura JPM October 28 sababu kura yako ni muhimu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Imekuchoma eeh???? Jibu maswali hayo??? Huo ndo uhuru na haki???
 
Lie ni kundi aliloliandaa la vijana wa kuhamasisha waliokuwa wakimsindikiza

Angalia anamopita response ya watu walio upande wa kushoto na kulia wako cold wapiga miyowe ni hicho kikundi kilicho nyuma yake tu cha wapambe .

The rest of the people wanamtizama tu
Hahahahaha!! Kilihamasiswa sa ngapi?? Weka ushahidi ??? Safari za jana za Lissu zimeoneshwa kuanzia alipoanzia Morroco hadi Kariakoo!! Sema huo uhamasishaji Uko wapi na ulikuwa wapi???

Watu walikuwa wakimshangilia na kupiga yowe za furaha !! Hata kumshangaa pia ni vizuri kwa sababu watu wanaona muujiza wa Mungu unavyofanya kazi
 
Imekuchoma eeh???? Jibu maswali hayo??? Huo ndo uhuru na haki???
Kipi cha kujibu hapo Kabendera si ni kweli alikiri na kuomba msamaha alipe fidia sasa kuna kipi hapo cha kujibu?

Hebu muache MIHEMKO vijana mfanye kazi nchi hii ina watu makini sana kuhakikisha amani yetu inadumu.

October 28 Kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Lie ni kundi aliloliandaa la vijana wa kuhamasisha waliokuwa wakimsindikiza

Angalia anamopita response ya watu walio upande wa kushoto na kulia wako cold wapiga miyowe ni hicho kikundi kilicho nyuma yake tu cha wapambe .

The rest of the people wanamtizama tu
Hivi ni kwanini unahangaika sana? Halafu ukweli hata hutaki kuusikia.
 
Magufuli ni mwaribifu tu wa pesa za Umma, mwizi na fisadi hawezi kuliendeleza JIJI kwa namna yoyote ile.

Magufuli alipokua Waziri aliiba pesa za MV Bagamoyo - Dar. Akaleta meli mbovu.
Magufuli na MaCCM yote hayajawahi kuitakia mema nchi yetu.
Kafeli sana, manake saiv Mwendo kasi ya mjini mbagala ilitakiwa iwe inafanya kazi , mwendo kasi ya goms gongo la mboto ilitakiwa na yenyewe iwe kwenye hatua za mwsho, hajafanya kitu

sasa utajiuliza kuna nn anafanya, hakuna, anaingia madarakan mkoa wa kigoma pekee Ndio haujaunganishwa kwa lami, mpaka leo bado haujaunganishwa kwa lami, kikwete ilitandika Lami nchi nzima karibu Km 20,000, huyu mwamba hata buku tu hajafanya, anavyopiga kelele sasa , utadhan katandandika KM. lak moja , bure kabisa
 
Rudi mirembe kamalizie dozi naona hauko sawa bado
Hii likizo ya siku saba inaonekana anaitumia vizuri kujifunza kuelewa nchi yetu sasa hivi iko hali gani baada ya kuiacha miaka mitatu iliyopita. Ndani ya siku moja tu ameshaanza kuunga juhudi za Magufuli kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama ulaya kwa mfano:

1.Kwa mfano amekubali kuwa barabara za mwendo kasi ndizo hata huko ulaya wanatumia kwenye majiji yao. Tofauti tu ni kuwa huko ulaya ziko nyingi. Ameahidi akichaguliwa atazijenga nyingi jijini DSM. Ambacho hajajua ni kwamba JPM alishaanza kuzijenga nyingi tu jijini DSM.

2. Ameahidi pia akichaguliwa atajenga pia reli za jijini (city railways) na city ferries. Ambacho hajajua ni kuwa tayari JPM tayari alishajenga na anaendelea kujenga hizo city railways and ferries. Ingefaa katika kipindi hiki cha likizo wampeleke akazione pia.

3. Ameahidi pia kuwa atabomoa nyumba kadhaa jijini DSM ili kujenga maeneo ya kupumuzikia (city gardens) na kuegesha magari (parking areas) kama ilivyo huko ulaya. Ambacho hajajua ni kwamba JPM tayari alishaanza kufanya kazi hiyo. Aende akatembelee maeneo hayo ambayo yako tayari.

4. Alipotembelea soko la Kariakoo amejifunza kuwa hizo utitiri wa kodi alizokuwa akizilalamikia kwenye kampeni zake hazikuwa za kweli. Amejifunza kuwa mfanya biashara mkubwa (mwenye mtaji unaozidi millioni 20) kodi anayotakiwa kukusanya ni VAT tu ambayo kiwango chake huwekwa na bunge. Mfanya biashara wa kati ambaye mtaji wake ni kuanzia milioni 4 hadi ishirini kodi yake haizidi milioni 5 kwa mwaka na hukokotolewa kutokana na risiti za mauzo yake na mashine za kielekitroniki anazopewa bure na TRA. Mfanyabiashara mdogo aka machinga ambaye mtaji wake hauzidi shilingi millioni 4 yeye hulipa gharama ya kitambulisho tu cha shillingi elfu 20 kwa mwaka. Hii wala siyo kodi bali ni gharama ya kuchapisha kitambulisho hicho. Mfanyabiashara wa aina hiyo ni kama yule dada aliyemuuzia yale maparachichi ambaye alikuwa na furaha tele kutokana na kitambulisho hicho. Anamshangaa anapokilalamikia kwenye kampeni zake.

5. Alipokuwa ndani ya bus la mwendokasi amejifunza kuwa watanzania wanaishi kwa raha na uhuru tele. Hawamuogopi mtu ye yote hadi wale dada walimuchukulia kama cerebity tu na wakaenda kukaa kuchat naye na kupiga selfie. Mke wake itakuwa roho ilimuuma. Huko ulaya hakuna kitu cha namna hiyo. Ukiingia kwenye basi hawasemazani, unasoma gazeti au kitabu tu. Halafu wanasema eti nchi yetu haina furaha eti wao ndiyo wenye furaha, nonsense.

6. Amekubali kuwa ile barabara yetu ya njia 8 hadi 12 ya kutoka Dar hadi Kibaha ni nzuri na kubwa sana ambayo hata huko ulaya hawana.

Hivyo kwa muda mfupi sana baada ya kuona machache sana yaliyofanywa na JPM katika kipindi cha miaka 3 aliyokuwa hayupo nchini, ni wazi kwamba ameshaanza kuunga juhudi. Ameshaanza kukiri maemdeleo ya vitu na kuanza kuahidi kuwa na yeye akichaguliwa atajenga mavitu. Hii likizo ya lazima aliyopewa ni blessing kwake.

Back
Top Bottom