Amerudi

birungi

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
391
16
baada ya kimya kingi sasa amerudi
alikua na kazi nyingi,ukweli mda haukuzidi
kama ujuavyo kimya kingi kina mshindo mkuu
birungi tena nimerudi, na habari nzito zilizo kuu.

katika pitapita zangu,mengi nimeyaona
nkafanya tafiti zangu,vidogo na vilivyonona
nkaona moja liwe langu,isije baadae kuibiana
si nkampata wa kwangu,sitaki na watu kushea

si kwamba wa juzijuzi,ni mda nimemtafiti
na haikuwa kubwa ajizi,malengo kufikia tamati
akapeleka pombe na mbuzi,hata vitenge vya bibi
hivo siku twazisubiri,MUNGU na ndugu wawe mashahidi.

nimeona ni jambo la kheri,rafiki zangu na wadau muwe nami
hata kama si kimwili,mawazo yenu na ushauri nauthamini,
naweza sema karibuni,ntafurahi tena kuwa nanyi.
birungi tena nimerudi,na habari nilizo nazo nimewapeni.
 
Nn si ashakuambia alikuwa anatafuta na kufanya research na amempata wake
 
<br />
<br />
Hahahahaha ugonjwa wa wengi huo
Ila ndo hivyo kashapata mtu wake bana na mahari tayari

hahahaha,bora wewe sio mvivu wa kusoma,kumbe umeona kila kitu....big up
NN sio ana ugonjwa bali ingekua ni habari imeanza kwa fun angesoma hadi mwisho
 
<br />
<br />
Sana tuu nahitaji sana kushiriki na kushuhudia hilo. Nipe no fasta fasta

namba yako ya ushiriki itakua sitini na tano. utakaa meza ya tatu karibu kabisa na eneo la tukio
 
nimeona ni jambo la kheri,rafiki zangu na wadau muwe nami
hata kama si kimwili,mawazo yenu na ushauri nauthamini,
naweza sema karibuni,ntafurahi tena kuwa nanyi.
birungi tena nimerudi,na habari nilizo nazo nimewapeni.
Birungi hapo kwenye red mmmmmh.Karibu tena Birungi au Kirungi au Murungi au Karungi mmmmhhhhh WELCOME IN FACT TO JF
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom