AMERIKA KUSINI: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapitisha pendekezo la kuwa na Mapadri walooa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
1572343659135.png

Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapendekeza kuwaruhusu baadhi ya Wanaume waliooa kufanya kazi za Upadri

Pendekezo hili limepitishwa kwa kura 128 dhidi ya 41 zilizokataa. Hata hivyo lazima Papa Francis apitishe pendekezo hili

Ruhusa hii itazihusu nchi za Bolivia, Brazil, Colombia, Ecuador, French Guiana, Guyana, Peru, Suriname, na Venezuela

Katika nchi hizo imethibitika kuwa kuna uhaba mkubwa wa Mpadre

=====

(CNN) Catholic bishops approved a proposal Saturday allowing some married men to be ordained as priests in the Amazon region.

The proposal, which must be approved by Pope Francis, would be a historic change to the church's centuries-old tradition of unmarried priests. It passed by a vote of 128-41 and applies only to some churches in the Amazon region that are experiencing a shortage of priests.

The region includes parts of Bolivia, Brazil, Colombia, Ecuador, French Guiana, Guyana, Peru, Suriname, and Venezuela. The proposal, known as "viri probati," refers to older Catholic men, who have stable families, are respected in their communities and who are already ordained as deacons in the church.

Allowing married men to become priests is not the same thing as allowing priests to marry, so the change would not affect the rule of celibacy for Catholic priests, who are not allowed to marry.

Pope Francis must approve the proposal for it go into effect, something he said he hopes to respond to by the end of the year. The pope has previously stated he was open to studying the possibility of allowing married men to be ordained.

Although the Catholic Church currently only ordains unmarried men to the priesthood, some converts, from Anglicanism for example, can become Catholic priests even if they are already married.

The proposal to ordain married men was one of the most contentious recommendations voted on Saturday evening at the conclusion of a three-week-long meeting at the Vatican to discuss environmental and religious issues affecting the Amazon region.

The Vatican invited 184 bishops and priests from the Amazon region and around the world for the special meeting known as a synod. Thirty-five women, mostly religious sisters, and nuns, were invited but did not have voting rights.

Another proposal recommended continuing to study the possibility of ordaining women as deacons. A commission set up by Francis in 2016 did not result in any conclusive recommendations.
CNN's Alla Eshenko and Delia Gallagher contributed to this report.

-CNN-
 
Kuna uhaba sana wa vijana wanaoingia seminari Ulaya na Amerika zote Kusini na Kaskazini.

Ulaya wanachukua mapadri kutoka Afrika, Asia na India (Goa). Kanisa linapitia changamoto nyingi sana.

Mpinga Kristu hutashinda
 
Kuliko kufanyia gizani waruhusiwe tuu.huko tuendako kanisa litakufa
 
... mbona madhehebu zingine za kikristo wachungaji na maaskofu wanaoa na mambo yanaenda poa tu? Hii sheria ya kutooa ni kati ya sheria ngumu sana katika maisha ya mwanadamu. Walioiweka hawakufikiria ipasavyo!
 
Suala La Kuloweka Naona Litachukua Kurasa Za Mbele Za Vyombo Vya Habari, Acha Tuone Muda Utaamua
Ingawa Mabadiliko Ya Tabia Ya Mwili Nayo Shida Sana
 
waoe tuu.....ili wafundishapo mafundisho ya ndoa wawe na ufahamu halisi na sio ule wa kukariri.
 
Hujaelewa mkuu hapo wanazungumzia mtu ambaye anamke then anaamua kuacha mke na kwenda kua padre sio mtu aliyepadre tayar then aje kuoa
.... kuacha mke ili kuwa padre? Utakuwa utaratibu wa ajabu sana; si watakuwa wanakiuka "alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"? Moja ya andiko muhimu zaidi katika Kanisa Katoliki?
 
Kwani kwenye kitabu cha biblia wameandikaje kuhusu mapadri kuoa?hapa ndio napata mashaka kuhusu haya maandiko mnayoyasema yametoka kwa mungu.iweje maandiko yatoke kwa mungu alafu wewe mwanadamu uyafanyie edition? hii inajidhihirisha kana kwamba mungu amekosea baadhi ya maandiko si ndivo au?.otherwise haya maandiko ya kwenye biblia naweza sema yameandikwa na watu wa enzi hzo za kale kwa minajiri ya kupata benefit zao fulani hapa duniani.
 
[QUOTE="Sky Eclat, post: 33299008, member: 106478"
Mpinga Kristu hutashinda
[/QUOTE]
Hi my lovely sister; hapo kwenye bold naomba kutofautiana na wewe kidogo; kuzuia viongozi wa dini wasioe (mapadri, maaskofu nk ) ndio roho yenyewe ya mpinga Kristo, sifa namba moja ya askofu kulingana na Biblia ni hi, "....imempasa askofu kua mume wa mke mmoja" so hi ya USEJA kimsingi ni sheria ya kanisa na sio ya UKRISTO
 
Kuna uhaba sana wa vijana wanaoingia seminari Ulaya na Amerika zote Kusini na Kaskazini.

Ulaya wanachukua mapadri kutoka Afrika, Asia na India (Goa). Kanisa linapitia changamoto nyingi sana.

Mpinga Kristu hutashinda
Suala sio Kanisa kupitia kipindi kigumu, bali ni Kanisa katoliki lenyewe limeamua kuwapa shida viongozi wake. Kwa ujumla elewa kuwa nchi nyingi zilizoendelea zina upungufu wa watu wanaohudhuria makanisani. Waumini wengi ni aged. Vijana wengi hawaamini habari na pia wako busy na issues nyingine sio makanisa kama ilivyo kwenye nchi masikini.
Kwahiyo kitendo cha Ulaya kuchukua mapadri wengi kutoka nchi masikini tafsiri yake ni kuwa hao mapadri wanafuata ajira na wala sio wito kwa kuwa Africa hatuna option nyingi za maisha.
 
Hujaelewa mkuu hapo wanazungumzia mtu ambaye anamke then anaamua kuacha mke na kwenda kua padre sio mtu aliyepadre tayar then aje kuoa
Sidhani kama ni hivyo........
Nilichoelewa ni kwamba wenye wake wameruhusiwa nao kua ma padre huku wakiendelea na ndoa zao
 
Suala sio Kanisa kupitia kipindi kigumu, bali ni Kanisa katoliki lenyewe limeamua kuwapa shida viongozi wake. Kwa ujumla elewa kuwa nchi nyingi zilizoendelea zina upungufu wa watu wanaohudhuria makanisani. Waumini wengi ni aged. Vijana wengi hawaamini habari na pia wako busy na issues nyingine sio makanisa kama ilivyo kwenye nchi masikini.
Kwahiyo kitendo cha Ulaya kuchukua mapadri wengi kutoka nchi masikini tafsiri yake ni kuwa hao mapadri wanafuata ajira na wala sio wito kwa kuwa Africa hatuna option nyingi za maisha.
Wanaochukuliwa kutoka Afrika, Asia na India ni mapadre, kazi ya upadre ni uchungaji huchagui sehemu ya kuchunga kondoo unakwenda pale kondoo wanapohitaji mchungaji.

Swala la vijana wa nchi zilizoendelea kuacha kwenda kanisani ni changamoto kubwa lakini uhamiaji unasaidia. Makanisa yanajazwa na wageni
 
Back
Top Bottom