American Millionaire in Dar conducting business training....Don't Miss !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

American Millionaire in Dar conducting business training....Don't Miss !!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Cash King, Aug 3, 2012.

 1. C

  Cash King Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmarekani millionaire (In dollars) Clay Jackson from Carlifonia, USA. Anayesadikika kuwa na mwenye utajiri wa approximately 20 million dollars atakuwepo jijini dar es salaam kesho. Ndani ya miaka mi 5 kwa ujumla ameweza fanya mauzo ya kiasi cha dollar billion 1 u zaidi (gross) katika kampuni kadhaa huko nchini marekani. Mwaka huu ameweza kutengeneza $ million 2.5 sawa Tsh. billion 4 kwenye biashara zake binafsi. Atakua akitoa siri za mafanikio, mafunzo ya kibiashara na kutoa opportunity (fursa) kwa wajasiriamali wadogo.....Hili tukio litafanyika pale Holiday inn hotel posta mpya...saa 8 mchana (tafadhali zingatia muda) Mfahamishe na jirani yako.....Kiingilio ni BUREE !!

  kwa habari zaidi
   
 2. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Sisi wa vijijini tulie tu! Yaani hadi napinda mgongo, hamna kusogea hata cm 1.
   
 3. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  $20 M unamwita millionare Marekani?
  You kidding eh!?
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kwani kwenu MKUKUTA au MKURABITA haujafika? teheeeeee
   
 5. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  kama hasheeem thabeet tu hata riz anazo usd mil 20
   
 6. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Aisee usinikumbushe machungu. Mipango mizuri, utekelezaji zero. Mkukuta/Mkurabita viko kwenye makaratasi. Ukifuatilia sana unaonekana una lugha ya uchochezi na unahatarisha amani.
  Hiyo red inaonesha unajua kinachoendelea huku. Ni bora na mimi nicheke tu, ili maisha yawe rahisi. Kwi kwi kwiii!
   
 7. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yaani, really, Mi sijaona utajiri wake, kwa USA?!, sijui hata jina lake kama ni maarufu huko, kuwa ni tajiri!, eh, enzi zile, miaka ya tisini kuna pambano moja Tyson alilipwa $ mil 10, so sioni kama huyo mtu ana ishu kwangu, ok anaweza kuitwa millionare, billionare, but utajiri wake Mi hayujanishtua kabisha nikifananisha na matajiri wanaosikika nje ya Afrika, angekuwakatoka Afrika tungemwona tajiri, but USA, kuna wenzake kibao wanamuona chamtoto
   
 8. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yaani, really, Mi sijaona utajiri wake, kwa USA?!, sijui hata jina lake kama ni maarufu huko, kuwa ni tajiri!, eh, nafikiri enzi zile, miaka ya tisini kuna pambano moja Tyson alilipwa $ mil 10, so sioni kama huyo mtu ana ishu kwangu, ok anaweza kuitwa millionare, billionare, but utajiri wake Mi hayujanishtua kabisha nikifananisha na matajiri wanaosikika nje ya Afrika, angekuwakatoka Afrika tungemwona tajiri, but USA, kuna wenzake kibao wanamuona chamtoto
   
 9. J

  JahGun Senior Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lakini Millionaire ni mtu ambaye anamiliki Million.
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  lol wabongo bana
   
 11. C

  Cash King Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  You talk as if you are so much successful than him......mnabaki kusema riz sijui tyson ingawa nao ni matajiri sana.....je walishawahi kukuambia hizo pesa zao walizipataje pataje ?? Hata ukiwauliza wanakujibu ?? Clay Jackson is LEGAL, RECOGNISED, SUCCESSFUL and NOT A CRIMINAL. Sioni vibaya kumsikiliza na kufuata ushauri wake.... Usiishi kusifia watu wewe fanya jitihada na wewe utoke....Huwezi jua...they say...one discipline leads to another discipline.....a single dooor to success might be the opening to other doors of success and other business ventures...Atleast unapata fursa ya kuongea na kumsikiliza mtu mwenye mafanikio face to face na yeye atakueleza ukweli wake wote challenge alizopitia na mpaka alipofikia.....na nini malengo yake ya baadae....wewe kama mtu uliyekua una struggle for soo long to make ends meet ufanye nini au kitu gani uweze kupga hatua katika safari yako ya mafanikio...kama una ubavu wa kukosoa kazi na mafanikio yake atleast utuonyeshe ya kua wewe una mafanikio zaidi yake kimawazo na kifedha hivyo tukusikilize wewe na sio kumsema vibaya....If not you just stay calm and listen.

  Welcome.
   
 12. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamaa hata mimi hajanifikia kabisa!!!!!!!!!! labda tuambiwe USD 20 billion. Lakini huyu bwana katupiga fix yaani ana utajiri wa USD20 million akafanya mauzo ya USD1 billion sidhani kama inakuja hiyo?????
   
 13. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kama kuna fursa za biashara sawa lakini kama ni kujaribu ufisadi wa kibeberu waliouzoea wamarekani tutaumia. Wengine wanakuja hivyo kumbe wanatafuta kafisadi ka kuwa nao kama business partner kumbe nchi inanyonywa. Let's be very careful guys
   
 14. C

  Cash King Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Are you familiar with the term gross ?? na unajua hiyo net revenue ilikua distributed vipi ? Yeye alikua na mchango mkubwa sana katika ku boost sales ya kampuni hizo...meaning he is an excellent marketer and finance analyst... kabla huja comment try to think first (no offense)....as u say umemzidi jamaa... i think it will be a good thing kama ukishare your experience and knowledge with us kama Clay Jackson coz ma fighter tupo wengi humu JF....atleast in my inbox if you want it private...Rafiki mwema atakueleza siri ya mafanikio yake...natumai ww ni rafiki mwema !!
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  July 2012 ktk mihangaiko yangu nilirudi huko kijijini kuona nini kinaendelea, babu akaniambia kuna mkukuruka ( nikajua ni mkurabita ),akasema maelezo ya maafisa yalikuwa mazuri ila utekelezaji ndio bomu,kwa hiyo wakaunda kikosi kazi chao kiende wilayani ili wakamwambie mkubwa wa mkukuruka kuwa hawataki. Mjanja mmoja kawafunua,kuwa mjini tunapewa title deed, kijijini mnaambiwa mkukuta/mkurabita ambao benki hazitaki.
   
 16. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hizo ndo senema zetu huku kijijini. Ukiona viongozi wanafululiza kutembelea kijijini kwenu basi ujue kuna neema wameiona hapo na "mwekezaji" kishatoa fungu kwa "maboss" halafu nyie mnalainishwa kwa ahadi tamu tamu ili mkubaliane nao. Wenyewe wanaita "elimu kwa wananchi kuhusu faida za uwezekaji", hamna lolote wizi mtupu.
   
 17. C

  Cash King Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Turudi kwenye mada tafadhali....mkukuta/mkurabita/mkukuruka etc.. haina uhusiano wowote humu !! itakua vizuri kama mngeanzisha thread yake pembeni...!!

  Thanks for your attention.
   
 18. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nisamehe bure. Nilijisahau. Unajua usipokuwa na pesa, you can not think straight.
  Thanks for your understanding.
   
 19. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  20 mil ? kuna watu wanazo hapo dar na unapishana nao kwenye mechi za simba na yanga hela ya kawaida sana.
  sitaki kusema kwa mimi maana hukawii kuni pm kuniomba nikupe mkopo wa biashara yako
   
 20. C

  Cash King Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wenye hela hawaongei ndugu....hahaha matendo tu ni utambulisho tosha. Kuhusu mkopo cdhani....i'm not interested but thanks anyway...unajua siku zote mtu fighter na tajiri ata invest anywhere that seems profitable habagui (angel investors/business angels)....hata kama opportunity ni ndogo yeye ata collect, analyse ideas and finance it into a big venture hence gain the profits in return.....tajiri kama wewe ungepaswa kuwa mtu wa kwanza kutega sikio na kujua ni kitu gani hasa kitakacho ongelewa huko. kama utavutwa basi utachukua hatua...anyway yote heri.
   
Loading...