American Democracy Downgraded to 3rd world!

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
7,012
6,601
Mchakato wa siasa wa Marekani umeshuka daraja.

Kama walivyopanga madaraja ya uchumi, jamii, na siasa k.m dunia ya kwanza pili nakadhalika.

Leo hii tunaona, leo hii ni historia ya "Demokrasia" kuonyesha wazi ufa! Marekani hapa ndio ufa huo.

Siasa na Demokrasia ya Marekani leo wameshuka Daraja kutoka
 
Na sisi tunaelekea huko huko tujiandae 2025, muda wa mhula wa urais ukiongezwa kibabe na wale wavaa sanda za kijani.
Sisi hatujawa katika hali hiyo; Trump alitawala kwa kuwagawa wamarekani sana, hasa kati ya hao weupe wasiokuwa na elimu dhidi ya wasiokuwa weupe. Wote unaowaona hapo, wengi wao hata hawakumaliza primary (middle) school!
 
...sio tu imeonyesha ufa na mapungufu mengi, pia imeonyesha ni jinsi gani machungu waliopata kwa kula vidonge vyao wenyewe.

Vidonge: Utumiaji wa social media kujaribu kutingisha,kubadilisha nchi zingine....Tunisia. Egypt?
Uwepo wa uongo mpaka kutoka kwa mdomo wa mkulu kuachiwa kusambazwa kwa jina la uhuru wa habari....uongo kama huo hapa kwetu unasambazwa na Mataga, na yule kibaraka ...wanajiita wazalendo(wamo mitandaoni)
...
mfano mwingine ni pale polisi walivyolazimishwa kuwepo bila silaha moto.
Uwezekano kuwa maofisa wa juu waliambiwa "stand down" upo! Au waliogopa kuwa wafuasi ni wa mkulu basi fungua geti!

Je tunaweza kufananisha na yaliyotokea Gambia? Au yanayoweza kutokea Uganda?

There is repurcussion to come, The Presidents "words matter....at best unite...at worst Insight"
In our own backyard there is one who has said he will protect his followers, u get the clue.
Yaliyotokea ni Mazito
 
74m people voted fot Trump hawana elimu. Hizi myths huwa mnazitoa wapi?
Very true. Sio mchezo na hata kuogopesha kuwa watu wengi kama hao wamepiga kura haswa pale dunia ilikuwa imeshaanza kuamini kuwa "Racism" imepungua.
 
Sisi hatujawa katika hali hiyo; Trump alitawala kwa kuwagawa wamarekani sana, hasa kati ya hao weupe wasiokuwa na elimu dhidi ya wasiokuwa weupe. Wote unaowaona hapo, wengi wao hata hawakumaliza primary (middle) school!
Inatuwia ugumu kuamini kuwa watu wengi weupe hawana elimu!
Vile vile hatuoni kuwa sasa hivi na sie tunafuta siasa hizo hizo kwa kutumia maneno rahisi kama "wale" "wapinzani" " wenye elimu" n.k

amini usiamini afadhali kabila za jadi mbali na hizi za sasa.

Naamini tumeshapita hali hiyo
 
Wamarekani hawajatingishika hata kidogo sema tu hili lizee trumpet limechanganyikiwa baada ya kukuta taasisi za marekani ziko imara zimelinyoosha,sasa hivi litaondoka madarakani kwa aibu na halitaheshimika tena,
 
Wamarekani hawajatingishika hata kidogo sema tu hili lizee trumpet limechanganyikiwa baada ya kukuta taasisi za marekani ziko imara zimelinyoosha,sasa hivi litaondoka madarakani kwa aibu na halitaheshimika tena,
Hautawatendea haki Wamarekani kusema kuwa hawajatingishika.

Kwa kweli, maoni yangu ni kuwa wafuasi wa Dunia ya weupe ndio waliochanganyikiwa.
Huyu "lizee" kwa aliyoyafanya na mfananisha na Jameh wa Gambia.
Uchu na ulevi wa madaraka.
 
Back
Top Bottom