American citizen: In Tanzanian we see corona and masks on TV, there is no corona here

Hakuna nchi kama Tanzania tena ukiwa na pesa kama ndo umetoka us una dollar zako laki moja au laki 3 unakuja Tz aisee uta enjoy mno mana maisha ni mazuri pesa ndo hakuna.
 
Babu zao walimkatalia Marcus Garvey...naona wao wanakuja kwa speed.


Hadi wanatukatisha tamaa ya kujilipua.
 
Ugonjwa sio wa kujisifu umepambana nao...jikalie kimya umshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom