America debates: CNN Poll results on who won the debate: Joe 60%, Trump 28% in a chaotic and combative debate

Yani Trump amuogope Biden?
We jamaa hauko serious wakati Biden ndiye alitaka kukwepa

Biden hamwogopi wala kumheshimu rais Trump, Trump naye hamwogopi wala kumheshimu Biden. Ukijipata hapo unatazamia nini kufanyika? Mimi sio mfuasi wa yeyote hapo. Au unataka kumpa nani ubabe hapo... Hadi sasa hakuna poll inaonyesha Trump alishinda debate ya kwanza
 
CNN wanajulikana sana kwa chuki za kijinga kuhusu Trump - tangu Trump amzidi kete Hillary Clinton, CNN bado inaendeleza propaganda zao dhidi ya Trump. Opinion polls za CNN ni za kutunga tu, Biden hana uwezo wa kujieleza kuliko Trump na wala hana analytical mind ya kumfikia Trump.
Neno 'analytical mind' kumbe siku hizi limepoteza maana yake.
 
Trump:I paid millions of dollars in income tax.

Joe:Show Us your tax returns man.

Hahahah
 
Biden hamwogopi wala kumheshimu rais Trump, Trump naye hamwogopi wala kumheshimu Biden. Ukijipata hapo unatazamia nini kufanyika? Mimi sio mfuasi wa yeyote hapo. Au unataka kumpa nani ubabe hapo... Hadi sasa hakuna poll inaonyesha Trump alishinda debate ya kwanza
Sijazungumzia polls, heshima wala mshindi wa jana. Nimesema Trump haogopi hata kidogo kufanya debate na Biden. Haogopi kabisa
 
Mimi sikushangazwa na majibu ya Biden - kitu cha kwanza uwezo wake wa kuchambanua masuala ya domestic na geopolitics ni mdogo sana, uwezi kumlinganisha na damu ya Kijerumani ya ubongo wa Trump unao chemka - Trump ni maji marefu yule, maneno/majibu aliyo kuwa anayasema Biden alikalilishwa na genge la Hillary Clinton na CNN, inaelekea Trump hilo alilibaini mapema sana ndio maana alipo kuwa anambana Biden kwa hoja zenye mshiko - Bedin anaishia kukosa pumzi!!

Siku moja niliwahi kumsikia Rais Obama akilalamika kwamba Makamu wake wakati mwingine anakuwa too colourful - what does that tell you about Biden's Persona? Wamerika wanao jitambua hawawezi kumpigia kura Biden - my opinion.

Huku ni wapi ulikoenda? Ati kuna wale walio na special genes/damu ya ubongo? Alafu ukishaanza kuwapanga wajerumani kuwa kwanza sisi huku Afrika tutakuwa katikati au mwisho? Mjadala baina ya marais wapaswa kuwa na heshima na hoja bora. Haya hayakuwepo katika mjadala huo na ni wengi ambao wamekubaliana na mtazamo huu. Malengo ya marekani yanajulikana kwa vyama viwili vya marekani tayari hivyo basi sio mengi yatakuwa mageni pale. Wale walikuwa wanatazamia kuona mjadala wa hoja kali au intellectual walikuwa disapointed sana. Kura atipata Biden kwa sababu TRump alivyo sismamishwa na corona.
 
Biden hamuwezi Trump, he is too shallow.
Angalau Hillary.
Huyu hamuwezi kabisa.

Hasa kwenye suala la corona Biden alipwaya.
 
Covid-19 and George Floyd Death in US imemharibia sana Trump, otherwise Biden asingeweza mshinda Trump. Biden sio mtu mzuri ktk uongozi, hana maamuzi na sio kiongozi, he depends on Obama, almost kila kitu kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom