Amercan university of dubai..hiki ndo chuo chenye wanafunzi matajiri zaidi duniani.

Makendaa

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
272
225
Habari wadau
Hizi ni baadhi ya pic za magari wanayotembelea wanafunzi wa chuo cha American University of Dubai wanayatumia kwa kuendea shule na mizunguko ya hapa na pale. Hiki ni moja ya vyuo ambavyo wanafunzi wake wanaonyesha ni matajiri sana kutokana na mausafiri wanayo yatumia kuendea chuo.
kwa sisi wengine imekuwa ni kama ndoto natena kutimia inakuwa ni tabu kuweza kumiliki magari kama haya. Picha hapo chini zinaonyesha magari ambayo huwa si ajabu kuyakuta yakiwa kwenye parking za wanafunzi wa chuo hicho.Hii ni gari aina ya Bantley ambayo ina thamani ya Paund 100,000 imeonekana ikiwa imepaki katika parking ya wanafunzi wa chuo cha Amercan university of Dubai.

Ferari nyekundu, Hii imekuwa ni kawaida ya wanafunzi wa chuo hiki kuonyeshana jeuri ya pesa kwa kutembelea magari ya bai kubwa kama haya.


Hii ni 2013 Banttley continetal GT, ambayo ina thamani ya zaidi Pound 100,000 na imekuwa nikawaida kukuta gari ya aina hii kwenye parking ya hiki chuo.


Yote hii nikuonyesha kuwa ni wanafunzi wa chuo hiki wana mshiko wa kutosha hii ni Lamborgin Gullardo Lp 570-4 ambayo ina thamani ya zaidi ya 160,000 inamilikiwa na mmoja wa wanafunzi wa America University of Dubai.Mashindano... Hii Rolls Royce imepakiwa Pembeni ya Masserati ambazo zote zina thamani zaidi ya Pound 100,00 za uingereza.


Gold Audi R8 yenye thamani ya Pound zaidi ya 92,710 inamilikiwa na mwanafunzi wa chuo hiki.

Ubabe ubabe Huku Porsche Cayene GTS huku Ferrari Zikiwa zimepakiwa kwenye Parking ya wanafunzi wa Chuo hiki.Rolls Royce

Chanzo na pic nyingine futa hiyo link hapo chini

bonyeza hapa kwa kujua chanzo na kuona pic na maeleza mengine
 

Makendaa

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
272
225
daaah mi huko ningesup kwaajili ya stress watakazonipa college mates maana hata toyo sina af mtu anakuja na rolls royce phantom si ni shida?
Acha tu mkuu ni shida hapa naona watakuwa wanasoma watoto wa matajiri wakubwa duniani
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,890
2,000
daaah mi huko ningesup kwaajili ya stress watakazonipa college mates maana hata toyo sina af mtu anakuja na rolls royce phantom si ni shida?

Dawa unakuwa genius balaa halafu unakuja na pikipiki ya kawaida sana.
Lazima wawe washikaji.
Acha uoga. Think outside the box.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom