Amepoteza cheti cha kidato cha nne, ana copy of the original

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,035
2,000
Hellow wakuu,

Nina mtu wangu wa karibu amepoteza cheti original cha matokeo ya kidato cha nne, lakini amebaki na photocopies zake tu.

Je kuna namna yoyote hizi photocopies zikawa certified bila kuwepo original cheti?

Kazi nyingi zinazotangazwa huwa wanakataa statement of results, je kuna utaratibu gani anaweza kufanya ili kutojipunguzia thamani atakapohitaji kujiingiza kwenye ajira hizi?

Naombeni muongozo wakuu,

Ahsanteni
 
Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
2,012
2,000
Pesa ndugu ndo mke wake...wewe mwambide aende kituo cha police aka taarifu ili wamwekee utaratibu wa barua atakayo tumia hadi baraza la necta ila asisahau mke wake ""*PESAAAAAA*"*
 
vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,035
2,000
Pesa ndugu ndo mke wake...wewe mwambide aende kituo cha police aka taarifu ili wamwekee utaratibu wa barua atakayo tumia hadi baraza la necta ila asisahau mke wake ""*PESAAAAAA*"*
Ameambiwa NECTA hawatoi tena vyeti kwa waliopoteza......Sasa kazi ata apply vipi kwa hao wanaosema hawapokei statement of results? Na huu uhakiki
 
Gasper mapile

Senior Member
Jun 30, 2013
190
225
Ameambiwa NECTA hawatoi tena vyeti kwa waliopoteza......Sasa kazi ata apply vipi kwa hao wanaosema hawapokei statement of results? Na huu uhakiki
hakuna kitu km hcho mkuu mi mwenyewe nilipoteza vyet vyangu vya form 4 na 6 nipo ktk process za kushugulikia cha Msing Katoe taalifa polisi utapewa loss report,baada ya hapo peleka tangazo la kupotelewa chet kwenye gazet la habari leo au daily news huku ukiwa na loss report na sh 35000 gazet likishatoa tangazo nunu hafu ukae miez 3 tangu gazet kutoka baada ya hapo ndio urud tena necta ila km umemaliza kabla ya 2008 utapewa result statement ila km umemaliza 2008 kwenda mbele utapewa replacement
 
Ni before 2008 mkuu
 
Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
850
500
Ni before 2008 mkuu
Mwambie afanye hizo process ulizoambiwa. Wala asiogope kwenye usahili huwa wanaelewa tu hizo issue za kupotelewa na vyeti. Mi niliitwa interviews nyingi na ajira nikapata. Kwa hiyo kama hakufoji mahali hakuna shida. Ni jambo linaloeleweka na taasisi yoyote ikitaka kujiridhisha NECTA watawatumia matokeo.
 
vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,035
2,000
Mwambie afanye hizo process ulizoambiwa. Wala asiogope kwenye usahili huwa wanaelewa tu hizo issue za kupotelewa na vyeti. Mi niliitwa interviews nyingi na ajira nikapata. Kwa hiyo kama hakufoji mahali hakuna shida. Ni jambo linaloeleweka na taasisi yoyote ikitaka kujiridhisha NECTA watawatumia matokeo.
Shukran sana mkuu.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom