amepotea anatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

amepotea anatafutwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mtende, Mar 17, 2011.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  habari jf,kuna mama mmoja ambae anamatatizo ya akili amepotea maeneo ya moshi na arusha,mara ya mwisho aliondoka akiwa na nywele fupi pamoja na mkoba mweupe mdogo,mama huyo hajui kiswahili vizuri ana lafudhi ya kikenya,pls kama kuna yeyote amemuaona sehemu yoyote atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu hii hapa 0658198951,nqombeni ushirikiano wenu
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  tukimwona tutakujulisha broda!
  Poleni sana na kadhia ya kumtafuta!
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  picha ingekuwa msaada mzuri zaidi,poleni sana.
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180

  thanks paka
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180

  thanks ntajitahidi kuweka picha
   
 6. Mc Kihiga

  Mc Kihiga Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka tukimuona mawasiliano umetupatia
   
Loading...